.

Jumapili, 20 Julai 2014

Alichokisema Peter wa P Square baada ya kuikacha harusi ya kaka yake.


Kama kaka yake ambavyo hakuhudhuria harusi yake, basi Peter Okoye na yeye amepotezea harusi ya kaka yake Jude Okoye. Ndugu hao walionekana  kwamba wamemaliza tofauti zao lakini baada ya Peter kupotezea harusi ya kaka yake mashabiki wamekuwa wakimwambia ayamalize na ndugu yake.
peter
Mashabiki hao wanamwambia kupitia twitter lakini baadhi yao kinachowakuwata ni kuwa blocked. Peter alichukuwa muda wake kuandika maneno haya kuhusu hii ishu.
squaresq
Tupe maoni yako hapo Chini..!!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni