.

Alhamisi, 17 Julai 2014

Post ya Hasheem Thabeet kuhusu wanaodhani amesahau lugha ya Kiswahili.

thannnHasheem Thabeet ame-post kwenye ukurasa wake wa facebook kuhusu baadhi ya watu wanaodhani kwamba amesahau lugha ya kiswahili. Sasa hiki ndicho alichoandika Hasheem kwenye ukurasa wake wa facebook.
thabeet
MAONI

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni