.

Jumamosi, 26 Julai 2014

DUH, ALLY KIBA SASA AWA GUMZO,DIAMOND AMWANDAMA HUKU NAPO BIFU JIPYA NA OMMY DIMPOZ, KWELI DIMPOZ NI HAMNAZO


 Kweli mfadhii mbuzi binaadam atakuuzi wewe ommy D leo ndo wa kumsupport dully na kumuacha Alikiba aliekutoa na Nai Nai??Ulipokuwa unataka utoke vipi ulitafuta mtu wa
kukutoacna ukajua ni Ally Kiba sasa hivi unamuona mavii khaaa binaadam hapana hata kama ume base upande mmoja but usische mbachao kwa msala upitao ndo maana watu wengine maendeleo cyenu yanaishia chalinze kwa roho mbaya




 
Aliesema hapo juu huyo team sijui nini ni ukweli mtupu
  dunia tunajifunza kutokana naexperience saidia ndugu zako bora Ally K ulijionea ukamtoa mdogo wako maana wengine shukran kushnehi my momma told me they will be things like this...
[Ushauri wa bure! Saidia ndugu zako kuliko marafiki wa siku hizi waliojaa unafiki   
 this  is for u my bro Ally Kiba.for real

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni