.

Ijumaa, 18 Julai 2014

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI EDSON MWAISABITE AFANYA KUFURU KWENYE KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA BUNJU B DSM KIITWACHO SIFA GROUP FOUNDATION..

 Mwimbaji wa nyimbo za injili aitwae EDSON MWAISABITE HIT MAKER WA WIMBO (ni kwa neema ya mungu) amekitembelea kituo cha kulelea watotoyatima ambacho kipo chini ya mwimbaji mwenzake SIFA JOHN na kufanya jambo la maana sana, full zawadi kwa watoto nA maitaji mbali mbali ya muhimu na kuahidi kwamba mafanyikio yake yotee lazma agawane na yatima na wasiyo jiweza pamoja na wajane; KIUKWELI JAMAA KAJINYAKULIA BARAKA TELE DAH...

WATOTO WAKISHANGILIA KUTEMBELEWA NA STAA HUYO








sifa john akimuonesha edson baadhi ya vyumba wanavyo lala watoto hao



EDSON AKIONYESHWA JIKONI

EDSON AKIONYESHWA MAZINGIRA YA KITUO


















TUKIO HILI LAKUSISIMUA NA LAKUJINYAKULIA BARAKA TELE KUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU LILITOKEA HII LEO 18/07/2014  TAHADHARI HIYO TAREHE YA KWENYE PICHA NI MAKOSA YA MPIGA PICHA KAISETI CAMERA VIBAYA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni