.

Jumatatu, 21 Julai 2014

Ali Kiba Anasema Siti Yake Kwenye Bongo Fleva Haijakaliwa Na Mtu,Inavumbi Tu,Diamond Ajibu Hivi


Baada ya Ali Kiba Kunukuliwa akisema kwenye interview kuwa “Siti yake kwenye bongo fleva haijakaliwa na mtu ila inavumbi tu” Inasemekana hili ndio jibu la Daimond kuhusu Comment hiyo ya Ali Kiba.
dddd 2 dddd
Baada ya maneno haya ya Diamond, Comment za mashabiki zimeonyesha kuwa hawafurahishwa na ugomvi unaoendelea kati yao ukizingatia wote ni wasanii wakubwa wanaofanya muziki wa Tanzania kujulikana Africa na dunia kwa ujumla.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni