Latest
news zinasema kuwa star wa filamu nchini Irene Uwoya amekutana faragha
Nairobi, Kenya na star mwenzake wa muziki toka nchini humo Jaguar.
Chanzo
kimoja kilicho karibu na Uwoya kikizungumza nasi kimesema kuwa wawili
hao kuna deal wanafikiria kufanya pamoja lakini hana uhakika mpaka sasa
ni deal gani “Uwoya na Jaguar wamekutana faragha kuna issue zao
wana-talk ila sijui ni deal gani hizo, nitakupa updates” kilisema chanzo
hicho.
Hata
hivyo chanzo kingine kutoka Kenya kimesema kuwa kimewaona Uwoya na
Jaguar katika hotel moja jijini Nairobi wakiwa katika mikao ya kimahaba
a.k.a zero distance ” Hi, I have seen Irene Uwoya with Jaguar in a hotel
in Nairobi they looked like an item, hawa celebs sio predicted”
kilisema chanzo hicho
Mwandishi
alijaribu kumsaka Uwoya lakini namba yake haikupatikana, hata hivyo
juzi Uwoya aliweka picha akiwa Julius Nyerere International Airport
akisema anaenda Nairobi ingawa hakuweka wazi kama anaenda kikazi au lah .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni