Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo mapenzi. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo mapenzi. Onyesha machapisho yote
Ijumaa, 19 Septemba 2014
Dada yake Diamond Platnumz, Asma amefunga ndoa na Peti Man
Alhamisi, 11 Septemba 2014
Diva Afunguka tena…Adai Zitto Kabwe ni mume wake na anatambulika kisheria
Mtangazajiwa
Kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa kupitia Radio Clouds FM ya jijini
Dar, Loveness Malinzi ‘Diva’ kwa mara ya kwanza, amejilipua kuzungumzia
uhusiano wake na Zitto Kabwe kwamba walikuwa mke na mume.
Katika
mahojiano maalum na mwanahabari wetu jijini Dar juzi, Diva alisema
anashangazwa na baadhi ya vyombo vya habari kumnyima uhuru wa kuongelea
suala lake na ‘zilipendwa’ wake huyo wakati kisheria yeye ni mke wake
hivyo anapaswa kuzungumzia kutengana kwao.
“Ninyi
mnayaongelea mambo ya Zitto na mimi juu kwa juu tu hamjui kama mimi
nimeishi naye kama mke na mume nyumbani kwake Masaki (Dar), sasa nini
kilisababisha penzi letu kuvunjika watu hawajui, nina ushahidi wa
kutosha lakini wanaongeaongea tu,” alisema Diva.Akaongeza:
“Sasa
ninavyojua mimi kwa sheria za nchi, mwanamke na mwanaume wakiishi
pamoja kwa zaidi ya miezi sita tayari ni mke na mume. Hawezi kuniacha
kirahisirahisi tu.”
Diva
alikwenda mbele zaidi kufuatia kauli ya Zitto aliyoitoa hivi karibuni
kupitia Kipindi cha Mkasi kinachorushwa hewani na Runinga ya East
African Television ‘EATV’ na mtangazaji Salama Jabir.
Zitto aliulizwa ana uhusiano gani na Diva, naye akajibu ni mtu wanayefahamiana tu lakini si mpenzi wake.
Ilidaiwa
kwamba, majibu hayo ya Zitto kwa Salama ndiyo yaliyoibua hasira ya Diva
hadi kufikia hatua ya kutupia kwenye ukurasa wake wa Instagram, e-mail aliyodai aliwahi kutumiwa na Zitto siku za nyuma akimtaka asiwe anaweka wazi uhusiano wao kwa sababu atachafuka kisiasa.
E-mail ilisomeka hivi:
“Unanikosea
sana ujue unapoweka mambo yetu hadharani. Ninaonekana siwezi kuwa
kiongozi kwa sababu nashindwa ku-handle masuala yangu binafsi.
“Madhara uliyoyafanya ni makubwa sana. Wapinzani wangu wa kisiasa watayatumia sana dhidi yangu.
“Ungekuwa
unajua madhara yake usingethubutu kufanya ulivyofanya mara tatu sasa.
Sijui nia yako nini, ila ipo siku utajua umenikosea sanasana.”
Swali la mwandishi:
Je, Zitto akikubali kufuata huo utaratibu uwe mkewe utamuacha GK ambaye umekuwa ukimtangaza kuwa mpenzi wako?
Diva: Hilo nitakujibu baadaye.
Siku za karibuni, baadhi ya vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti uhusiano wa Diva na Zitto bila kuzama kwa undani.
Kufuatia
Diva kutupia madai hayo mtandaoni na kudai yeye ana hadhi ya mke kwa
Zitto na kauli ya Zitto kwenye runinga kwamba Diva si mpenzi wake,
baadhi ya watu waliozungumza na Amani walionesha kwenda kinyume na
mtangazaji huyo.
Wengi
walidai kwamba wana kumbukumbu zilizonyooka kwamba Diva amewahi
kujinadi kutoka na Mbongo Fleva, Gwamaka Kaihula ‘Crazy GK’.
“Sasa Diva anavyodai ni kama mke wa Zitto mbona anamtangaza mwanaume mwingine?” Alisema mkazi mmoja wa jiji aitwaye Yuda.
“Sasa Diva anavyodai ni kama mke wa Zitto mbona anamtangaza mwanaume mwingine?” Alisema mkazi mmoja wa jiji aitwaye Yuda.
Naye
Ismail Juma, mkazi wa Kigogo, Dar alisema aliwahi kusoma kwenye vyombo
vya habari kwamba Diva anapumzika na mwanamuziki kutoka Kenya, Jackson
Makini ‘Prezzo’ kiasi cha kumzalishia bifu na demu wa jamaa huyo, Huddah
Monroe.
“Diva awe na aibu basi, asikurupuke wakati yeye mwenyewe si msafi kivile,” alisema Ismail.
Kufuatia
madai hayo, kwa muda wa siku saba, Amani limekuwa likimsaka Zitto kwa
njia ya simu lakini bila mafanikio.Watu wa karibu naye walipoulizwa
alipo, walisema wanachojua ana shughuli zake nchini Zambia.
Alhamisi, 4 Septemba 2014
Jumanne, 2 Septemba 2014
Jumatatu, 1 Septemba 2014
Shilole akiri kutotumia Condom kwenye mapenzi
Mwigizaji
wa filamu na mwanamuziki wa miondoko ya kizazi kipya, Zuwena
Mohammed ‘Sholole’ amesema kuwa matumizi ya kondom wakati wa
mahaba hayaleti ladha ndio maana alilazimika kwenda kupima
ngoma na mpenzi wake Nuh Mziwanda ili wasiwe wanatumia kondom.
Akizungumza
na Mpekuzi wetu, Shilole alisema kuwa raha ya mapenzi ni kila
mmoja kuwa na mwenzake bila kuwa na kizuizi chenya kuondoa
ladha hiyo na baada ya kupima kila mmoja ameapa kutochepuka
ili asilite maambukizi ndani ya uhusiano wao….
“Asikudanganye
mtu, raha ya kula ndizi ni kula ikiwa imemenywa, ikiwa na
maganda inaondoa utamu ndio maaa mimi na mwenzangu tulilazimika
kwenda kupima afya zetu na kila mmoja alibainika ni mzima
hivyo tumeahidiana kutosalitiana ili tusileteane maambukizi”,alisea Shilole.
Jumapili, 31 Agosti 2014
Jumatano, 27 Agosti 2014
Flora Mbasha: Nina Mimba ya Mbasha sio Gwajima
Muimbaji
wa nyimbo za Injili Tanzania ambae pia ni Mke wa Emmanuel Mbasha
amefunguka na kusema kuwa hana mahusiano yoyote ya kimapenzi na na
Mchungaji wa Kanisa la kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima…
Flora
amesema hayo leo alipokuwa akichat Live kupitia ukurasa wa Facebook wa
EATV katika kipengele cha Kikaangoni Live kinachofanyika kila siku ya
Jumatano kuanzia saa Sita kamili.
Flora
amesema kuwa hawezi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu ambae ni
ndugu yake hivyo Mchungaji Gwajima ni mjomba wake na si mpenzi wake kama
ambavyo watu wamekuwa wakizusha kwa lengo la kumchafua na kumshushia
hadhi.
“Hayo ni maneno tu ya watu mtaani ila Mchungaji Gwajima ni mtumishi wa Mungu na ni uncle wangu ninawezaje kuwa na mahusiano na uncle wangu..? “ Alihoji Flora wakati akijibu maswali ya mashabiki ambayo mengi yao yalikuwa yakimtuhumu na huku watu wengi wakitaka kujua ukweli juu ya ugomvi uliopo kati yake na Mumewe kama ni kweli au ni skendo tu za magazeti..
Flora aliweka wazi kuwa kuna vyombo vya habari ambavyo vimekuwa na lengo la kumchafua na kumharibia sifa ndio maana walitumia gharama kubwa kufanya wanavyoweza ili kutimiza malengo yao.Amedai kuwa alimua kukaa kimya kwa kuwa hakukuwa na ukweli wowote.
“Hayo ni maneno tu ya watu mtaani ila Mchungaji Gwajima ni mtumishi wa Mungu na ni uncle wangu ninawezaje kuwa na mahusiano na uncle wangu..? “ Alihoji Flora wakati akijibu maswali ya mashabiki ambayo mengi yao yalikuwa yakimtuhumu na huku watu wengi wakitaka kujua ukweli juu ya ugomvi uliopo kati yake na Mumewe kama ni kweli au ni skendo tu za magazeti..
Flora aliweka wazi kuwa kuna vyombo vya habari ambavyo vimekuwa na lengo la kumchafua na kumharibia sifa ndio maana walitumia gharama kubwa kufanya wanavyoweza ili kutimiza malengo yao.Amedai kuwa alimua kukaa kimya kwa kuwa hakukuwa na ukweli wowote.
“Hizo stori mnazosikia hazina ukweli wowote na ndio maana niliamua kukaa kimya, sikutaka kujibizana kwenye vyombo vya habari kwa uongo wa baadhi ya magazeti ya udaku ila ninasikitika sana kwani kuna watu wamekaa na kujipanga kisawa sawa kwa ajili ya kuhakikisha wanaharibu huduma yangu kwa gharama zozote…
“Lakini bado ninasonga mbele kwani mwanzilishi wa huduma yangu ni Mungu na huyo ndiye atakayeimaliza na sio mwanadamu. Hata hivyo ninawashukuru kwa kuwa wamenitabilia ntakuja kumiliki jumba na magari ya kifahari ingawa yote ni ubatili”
SIJAACHANA NA MBASHA KISA GWAJIMA
Flora
Mbasha amesema kuwa watu wengi wanasema kuwa ameachana na Mumewe kisa
Gwajima hilo swala halina ukweli wowote, hajaachana na Mbasha sababu ya
Gwajima na amedai kuwa bado anampenda sana ila anampenda Mungu zaidi.
Amekiri kuwa na matatizo katika ndoa yake kati yake na mumewe lakini akasema kuwa hayo ni matatizo yao ya ndani, hivyo asingependa kuyaweka wazi katika vyombo vya habari maana kufanya hivyo ni sawa na kumvunjia heshima mumewe maana mambo ya chumbani ni siri yao wenyewe.
Amekiri kuwa na matatizo katika ndoa yake kati yake na mumewe lakini akasema kuwa hayo ni matatizo yao ya ndani, hivyo asingependa kuyaweka wazi katika vyombo vya habari maana kufanya hivyo ni sawa na kumvunjia heshima mumewe maana mambo ya chumbani ni siri yao wenyewe.
“Sijamwacha mume wangu sababu ya Gwajima na kweli bado napenda sana Mbasha lakini nampenda zaidi Mungu”
Wakati anazungumzia suala hili Flora ameweka wazi kuwa kwa sasa ni mjamzito na ujauzito huo ni wa Mume wake ambae ni Emmanuel Mbasha maana ameishi nae katika ndoa zaidi ya miaka kumi na katika kipindi chote hicho hajawahi hata siku moja kumsaliti Mumewe na kwenda kwenye michepuko hivyo huo ujauzito ni wa Mume wake Emmanuel Mbasha na siyo Gwajima.
Jumatatu, 11 Agosti 2014
AMINI USIAMINI LOVE DON'T COST A THING...DEMU WA KIHINDI AKIMBIA MAMILIONI KWAO NA KWENDA KUISHI KIJIJINI NA HUYU MJAMAA
Kumekuwa na msisimko mkubwa katika vyombo vya habari na mitandao ya
kijamii nchini Kenya kuhusu taarifa ya msichana wa Kihindi aliyekiuka
mila na tamaduni za jamii yake na kuolewa na kijana Mwafrika.
Msichana huyu wa kihindi anaitwa Sarika Patel, na ameolewa na kijana wa
kabila la Bukusu Timothy Khamala, jambo ambalo ni nadra sana kwa watu wa
jamii ya kihindi. Kilichowashangaza wengi ni kwamba Sarika ametoka
katika familia tajiri na kuamua kuishi maisha ya walalahoi kijijini
Kwa Sarika maisha ya umaskini ambayo Timothy anaishi sio kikwazo hata
kidogo bali kwake hapo ndipo anapata raha na mapenzi ambayo anasema
yamemridhisha na kumtuliza nyumbani kwa kijana Timothy.
Timothy alikuwa anafanya kazi nyumbani kwa kina Sarika kama mjakazi
lakini akafutwa kazi na baba ya Sarika baada ya kupendana na msichana
wake.Kwa sasa yeye ni tarishi katika ofisi hii ya jimbo.Sarika hana
kazi
Wawili hao sasa wapo katika pilka pilka za kuanza maisha mapya ila kwa
pingamizi kali . Sarika Patel anasema kulingana na mila yao si sawa
kuolewa na mtu asiyekubaliwa au kuchaguliwa na wawazi wako. Wachumba kwa
kawaida hutoka jamii sawa.
Mbali na tofauti ya rangi zao za ngozi , Sarika anatoka katika familia
tajiri kinyume na mumewe Timothy ambaye ni mlalahoi. Licha ya tofauti
hiyo, Sarika anasema wazazi wake hawangeweza kumzuia kumpenda amtakaye
RIPOTI: Makabila haya huwa ni wabovu sana kiatandani, Bofya hapa kuyajua
Magazeti ya leo August 11 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)












