Video ya Mdogo mdogo ndiyo kwa sasa inaoyoongoza kwa kuangaliwa na Watu wengi kutoka ndani na Nje ya Tanzania ikiwa imefikisha zaidi ya Views 216,336 huku video ya BumBum Aliyomshirikisha Iyanya ikiwa ina Views 124,014 na zaidi, Sasa hii inaonyesha kuwa video ya mdogomdogo ndiyo inayoongozwa kwa kupendwa na kuangaliwa na watu wengi zaidi kwenye chanell hiyo
Jumanne, 15 Julai 2014
MPAKA SASA VIDEO YA MDOGO MDOGO NDIO INAYOONGOZA KWA KUANGALIWA ZAIDI YOUTUBE, SOMA ZAIDI HAPA
Video ya Mdogo mdogo ndiyo kwa sasa inaoyoongoza kwa kuangaliwa na Watu wengi kutoka ndani na Nje ya Tanzania ikiwa imefikisha zaidi ya Views 216,336 huku video ya BumBum Aliyomshirikisha Iyanya ikiwa ina Views 124,014 na zaidi, Sasa hii inaonyesha kuwa video ya mdogomdogo ndiyo inayoongozwa kwa kupendwa na kuangaliwa na watu wengi zaidi kwenye chanell hiyo
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni