Manaiki
alibaki kuangua kicheko ambacho kilitoa jibu la moja kwa moja kuwa
hajiwezi kwa Diana ambaye kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo
anavyozidi kujiimarisha kwenye tasnia ya filamu Swahiliwood.
Pia kupitia mitandao ya kijamii Manaiki amekuwa akiandika ujumbe na kupost picha akiwa na Diana. moja wa ujumbe huo ni huu:
“#love #never #die japokua haupo na Mimi ila everyday mi naku feel baby sijuwi kupendwa kama we ulivyokua unanipenda na hiyo ni habari ya mjini”
Tupe maoni yako hapo Chini..!!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni