.

Jumatatu, 14 Julai 2014

HATARI TUPU TAN ROAD WAFANYA KUFURU BUNJU B BAGAMOYO ROAD CHEKI PICHA NA VIDEO HAPA WALIVYOVUNJA MAGENGE YA WANANCHI BILA HATA HURUMA

Ukizingatia ni mwezi mtukufu wa ramadhani alafu wamekuja na hasira zote asee yani full kuvunja magenge bila hata huruma inasikitisha sana., japo kuwa walitoa taadhari ila siyo vizuri kuja kuwavunjia watu mpaka kuharibu mali zao, wakumbuke serikali na wananchi nikama baba na mtoto so hata mtoto akiwa na masikio magumu baba hupaswi kuchukua maamuzi yakuyazuru maisha ya mtoto wako kiukweliinaboa sana...                                                                        




























Hakuna maoni:

Chapisha Maoni