Ushauri kumbukeni wanafunzi mnapoenda vyuoni mmeenda kusoma ndugu zangu,
hakikisha unafanya kilichokupeleka haya mambo mengine acha kwanza.
Au hata kama ni vituko mnafanya usimwamini mtu achukue video siku
hizi dunia imeharibika dada zangu usimwamini mtu akuchukue video
kabisa mwisho wa siku itakuwa ni aibu. ni bora hata kama mna fanya
mambo yenu yawe ni siri basi. Kuliko kuanza kuchukua na video kabisa au picha niahatar
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni