November 10 2014 Hemedy aliandika tweet ikisema >>> ‘Mtu anasema hategemei kufanya collabo na msanii wa bongo ikiwa ngoma zake zote kabebwa na collabo, fikiri kabla ya kuzungumza‘
Hemedy ameandika tweet hii siku kadhaa baada ya msanii Shetta kusema kwa sasa hafikirii kufanya collabo na Wasanii wa Tanzania bali anafanya mpango wa kujipenyeza kimataifa zaidi akisema ‘nimefanya collabo nyingi na Wasanii wa Tanzania ndio maana siko tayari kufanya tena hivyo nikawa nawaza mawili, nifanye collabo na msanii wa kimataifa au kutoa wimbo peke yangu?‘
Kwenye tweet nyingine Hemedy aliiandika kumuhusu President Jakaya ambae yuko Marekani alikokwenda kutibiwa.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni