Mchezo huo umemalizika kwa Chelsea kuendeleza ubabe kwa Liverpool ambapo magoli ya Gary Cahil na Diego Costa ya Chelsea yaliizamisha Liverpool na kuiacha ikiwa inaelea kwa ushindi wa 2-1 huku Emre Can akikumbukwa na WanaLiverpool kwa kufunga goli la kufutia machozi.
Matokeo mengine ya mechi za November 8 2014 ndio haya hapa chini..
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni