Stori mpya ya leo imetokea Nigeria ambapo mwanaume aitwae Mama Solomon kutoka Enugu amekamatwa kwenye uwanja wa ndege Lagos akiwa ameficha dawa za kulevya aina ya Cocaine katikati ya soli ya kiatu cha Mwanamke.
Baada ya kukamatwa, Solomon mwenye umri wa miaka 27 alikataa dawa hizo kuwa za kwake na kusema yeye amekua akifanya kazi na kuishi nchini Brazil hivyo kuna rafiki yake alimpatia huo mzigo na kumwambia akiufikisha salama atazawadiwa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni