Hii ndio gari ya kwanza ya msanii wa bongo fleva Rich Mavoko aina ya
Nissan March, Gharama yake ameniambia itatimia milioni kumi atakapo
maliza malipo ya kila kitu kwenye gari hio ila mpaka sasa imegharimu
milioni tisa Tz Shillings. Pesa za kununulia gari zimetokana na muziki
tu na sio biashara nyingine. New Ride Ya Rich Mavoko Picha zaidi Ziko
Hapa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni