Hitmaker wa single ya Mfalme,Hamis Mwinjuma a.k.a Mwana FA October
31 aliweka historia katika ukumbi wa Lacasachika mkoani Tanga.
FA alifanya show laivu 96.0 (Tanga) iliyopewa jina ‘Mchezo Kwao
Hutuzwa’ chini ya udhamini mkubwa wa kampuni ya mawasiliano ya Vodacom
Tanzania akisindikizwa na B Doden & Dj Zero kutoka Double XXL ya
Clouds FM.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni