inasemekana hizi picha zimekuwa zinawagusa watu kuliko picha zozote za Rais Kikwete ambazo alishawahi kupiga wakati wa uongozi wake maana hizi picha zinaguza maisha na matatizao mbalimbali ya watu katika jamii yetu ya kitanzania, Ebu tazama hizo picaha kwa makini sana
Rais akiongea na mlemavu huko mwannza
hapa Rais Kikwete akiongea na bibi huko mkoa wa pwani

Hapa Rais akiongea na mlemavu katika ziara zake
Hapa Rais Kikwete akiongea na mtoto mlemavu huko tanga

Hapa akiongea na mlemavu pia katika ziara zake
Hapa pia akiongea na mlemavu

kama kawaida yake rais akimsikiliza mlemavu
Hapa pia akisalimiana na mlemavu

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni