Miongoni mwa watu walioangalia burudani hiyo ni Shilole ambaye aliisifia burudani ya Dj Tass kupitia Instagram na kuandika ‘@djtass kaka wew ni ny**o coz umejua kuipenda nchi yako na hizo ngoma zako kali!!@bigbrother africa oyooooooo’
Shilole hakuchukua time na akaamua kumjibu shabiki huyo kwa kumuandikia comment hii >>> ‘Utakuwa hauna shukran we dada masna asingepiga pia nyimbo zetu pia ungechamba kama si kuha*****! Dj kapiga nyimbo za nchi zote zilizipo pale, hivi lini mtaacha ushamba wa kukoment ××××× kwani lazima ukoment! Mnaboa, nina wasiwasi wewe utakua sio Mtanzania‘
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni