Gwyneth Montenegro alikulia nchini Australia katika shule binafsi kabla ya kwenda kuwa mmoja wa wasichana makahaba wanaolipwa pesa nyingi zaidi akipata zaidi ya dola 2,000 kwa usiku mmoja kutoka kwa wateja wake.
Wakati wengi wa marafiki zake waliishia kuwa madaktari na wengine wanasheria, Gwyneth aliingia katika biashara hiyo na kufanikiwa kulala na wanaume 10,091 na kuweka taarifa za kumbukumbu ya kila mmoja wao.
Wateja wake wengi walikuwa ni wazungu wenye pesa zao na ingawa asilimia 90 ni waume za watu, Gwyneth anasema hajutii kwani kwa kufanya hivyo inawezekana ameokoa ndoa zao kwa kiasi kikubwa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni