Wakati
sheria ikizidi kuwatia hatiani wale nguli wa kulawiti watoto,
staa wa bongo movie, Jackline Wolper amesema kuwa hata kwa
upande wake huwa anasikitishwa na vitendo hivyo kwani kufanya
hivyo ni kuwatia doa katika maisha yao……
Staa
huyo alisema kuwa kitendo cha kulawiti mtoto ni cha kinyama
na kwamba haoni sababu ya kucheka na watuhumiwa bali wanatakiwa
kufikishwa mahakamani ili sheria ichukue mkondo wake…
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni