Huddah ambaye ni mke mwenza wa diva wa
clouds fm aendelea kuwashangaza mafans wake kwa kuachia picha za utupu
bila aibu... na hata apondwe vipi huyu dada bado anaendelea ...Kibongo
bongo tunamfananisha na "FLORA LYMO"
ambaye ni mwna mama mtu mzima ambaye nae anachia series za nusu utupu ,
Ingawa Mafans wake na watanzania kwa ujumla wanamkea haache lakini
bado yumo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni