SINA TIME NA MUZIKI TENA "NOORAH BABA STYLE" AFUNGUKA, SOMA ALICHOKISEMA HAPA
Msanii
wa Muda sasa kwenye Industry ya Bongo Fleva Noorah a.k.a BabaStyle
amevunja ukimya kwa kuamua Kufunguka kile kilicho moyoni mwake kuhusu
ukimya wake kwenye Game kwa sasa ambapo amefika mbali na kusema kuwa
Mziki hauna faida kwake na kwa sasa anaufanya Mziki kama Starehe like
mtu anavyotoka kwenda Bar kunywa beer huku akiwa sio Mlevi means siku
akifeel ham tu.
Akizungumza na DJ HAAZU ndani ya Kipindi cha DUNDO ndani ya MJ RADIO
Arusha Noorah ameelezea ukimya wake ambao yuko nao kwamba Kwa sasa
mziki hautegemei tena kwamba utakuja kumpa faida kwani ameusotea kwa
muda Mrefu sana bila Mafanikio na kusema kuwa Hana time nao tena bali
ana mambo mengi ya kufanya yanayomuendeshea Maisha yake na sio muziki
ila ataufanya tu kama sehemu ya Starehe.
Amejaribu kufafanua
kuhusu wingi wa Wasanii kuwa wengi Nchini huku wenye Mafanikio wakiwa
wachache ambao pia amewataja kama watu wa kusifiwa wana hela ila sio
kiivyo ambapo wanasemwa wamefanikiwa kumbe ni maneno tu (Politics kwenye
muziki).
POINT YA NOORAH INASEMA Maisha ni Malengo na kama kitu hakina faida nacho hakina maana kwako
MSIKILIZE NOORAH HAPA CHINI AKIONGEA NA HAAZU
click link hii hapa >>> http://old.hulkshare.com/
Mtete Focus Blog
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni