Jahazi
inayosadikiwa ni ya wavuvi iliyokuwa na takribani watu 11 imeteketea
kwa moto katika bahari ya Hindi eneo la Mtukule leo asubuhi.

Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam limethibitisha kuokolewa kwa wavuvi wote 11 ambao Jahazi lao liliwaka moto katika eneo la Nyakatome.
-ITV

Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam limethibitisha kuokolewa kwa wavuvi wote 11 ambao Jahazi lao liliwaka moto katika eneo la Nyakatome.
-ITV
Mtete Focus Blog
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni