Baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ya Pombe Yangu, sasa msanii kutokamanzese maarufu kama Madee ameamua kuachia rasmi ngoma yake nyingine
mpya inayokwenda kwa jina la Tema Mate.
Ngoma hii imefanywa ndani ya
Studio Ya Mj Records chini ya Producer Marco Chali.
Mtete Focus Blog
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni