
Kutoka
TMK, msanii ambaye aliwahi kuwa mchezaji basketball hadi kupewa nafasi
ya kujiunga na jeshi kutokana na kucheza mchezo huo lakini lishindikana
kutokana na kuwa na tatoo. Habari nzuri ni kwamba Temba amepata mtoto
mwingine na kufanya idadi ya watoto wake kuwa wawili. Mtoto huyo wa
kiume amepewa jina la
Melyvin ambaye pia dada yake anaitwa Mishell

Mtoto Melyvin

Mishell Temba
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni