Nilikua mwajiriwa katika
kampuni moja maarufu jijini dare s salaam , katika kuajiriwa kwangu huko
nikawa msaidizi maalumu wa bosi wa kampuni ile , basi siku moja moja
nilikuwa naenda kujirusha na bosi wangu .
Ukizingatia kwamba sikuwa
na mume wala mchumba na kwa kweli huyu bosi ndio alikuwa mtu wa kwanza
kufanya nae tendo la ndoa , hivyo nilifurahia mhemko wake na jinsi
alivyokuwa ananipenda na kunijali kila kitu nilipata na zaidi .
Alifanya yote haya bila
kunificha kwamba ana mke na watoto nyumbani kwake kwahiyo wakati
mwingine chochote kinaweza kutokea nijiandae kwa shuguli hiyo pevu kama
mke wake akishitukia dili hilo .
Tulikuwa na uhusiano na
huyu bosi kwa miezi 4 hivi mpaka siku moja katika tembea tembea mitaani
nikakutana na kijana mmoja mtanashati akanieleza kwamba ananipenda na
kunizimia sana yaani ameshanifia
Huyu kijana alihangaika
kwa mwezi mzima mpaka siku nikaja kumkubalia akawa ndio mpenzii wangu
halali sasa , nilimwamini sana nay eye aliniamini sana , miezi 3 tokea
kujuana na huyu kijana aliniambia kuhusu kufanya nae tendo la ndoa .
Nilifikiria sana wakati
mwingine nilitaka kulia jinsi alivyokuwa ananishika na kuniomba tendo la
ndoa akiwa chumbani kwangu , alijaribu kunishika sehemu kadhaa akanivua
nguo nami nilimtolea nje nilimkatalia .
Basi siku moja nikamwomba
tukaangalie afya zetu , kijana wa watu alikasirika sana wiki nzima
hakufika nyumbani kwangu wala kunipigia simu , kumbe alitaka tufanye
tendo la ndoa bila kinga ? sasa ningejuaje kuhusu afya yake ? au
ananiamini nini mimi ?
Maisha yaliendelea na
mambo mengine yaliendelea tu wiki ya 3 alinipigia simu akaniomba msamaha
turudiane na alikubali kwenda na mimi kupata vipimo vya afya zetu kujua
kwanza kabla hatujaanza mambo mengine yoyote yale .
Basi ndio hivyo majibu
yaliyoka mazuri , ndio mapenzi yetu alikuwa zaidi na penzi nilimpa bila
hiyana wala aibu yoyote , yeye mwenyewe alifurahia mambo yangu na kwanza
alikuwa anatoroka nyumbani kwao kuja kulala kwangu wakati mwingine
mwezi mzima .
Tuliendelea kwa miezi
kadha na huyu kijana huku na mimi nikiwa na bosi wangu kule kazini ,
basi bwana siku moja , sisi officini tulitakiwa kwenda kutoa damu
hospitali ya muhimbili katika maadhimisho ya siku ya afya duniani . Watu
walipimwa afya zao na mimi nilipimwa , majibu yangu yalikuwa ya
kutatanisha sikuamini macho yangu wala masikio yangu , nilienda
hospitali ingine napo majibu yalikuwa yale yale kwamba nimeadhirika na
UKIMWI .
Haya majibu yalimfikia
mpaka bosi wangu nae akatambua hilo akasikitika sana nay eye alivyoenda
kupimwa akakutwa hajaadhirika , basi nikajua moja kwa moja ukimwi
nimepata kutoka kwa yule kijana wa mitaani na sio mtu mwingine .
Nikamwomba huyu kijana
tukaangalie afya zetu kwa mara ingine tena hospitali , tukaenda kule
kupima afya zetu , yeye ndio alikuwa wa kwanza kupokea majibu yake ,
alikutwa ameadhirika akupata mshituko wa ghafla yaani haamini .
Mshituko huo ulimpelekea
aanguke chini na kuzimia watu walienda kumbeba na kumpeleka hospitali
kupatiwa huduma ya kwanza basi hapo ndio magonjwa mengine yalianza
kujitokeza na kujulikana sana .
Kumbe huyu kijana alikuwa
na urafiki wa kimapenzi na shugamami mmoja mtaa wa pili huyu shuga mami
mume wake alifariki dunia miaka 5 iliyopita kwa UKIMWI watu wanaema TB
sijui , ndio huyu kijana kuona zile pesa za shuga mamy akaenda kwake .
Kijana aliumwa kwa miezi 3
hivi kisha akafariki dunia akaniacha duniani mwenyewe , kule kazini
nilifukuzwa kaza na bosi wangu kisa nilitaka kumwambukiza ugonjwa wa
ukimwi , lakini siku moja alinipigia simu kunieleza kwamba mke wake
ameadhirika na UKIMWI pia lakini yeye anasema hajaadhirika .
Hapo ndio nilishangaa sana
, kwanini mke wa aadhirike yeye asiadhirike au mke wake nae alikuwa
anatoka nje ya ndoa bila mume wake kujua ? basi hiyo ni siri yao
nyumbani kwao mimi hayanihusu .
Lakini ndio hivyo nilikuwa
nimeshaadhirika na UKIMWI kazi nimeshafukuzwa sina cha kufanya wala
kutafakari nilifikiria zaidi kuhusu ugonjwa wangu wa UKIMWI na jinsi
nitakavyoweza kuishi maisha marefu kwa matumaini .
KAHABA
Baada ya kuona maisha
magumu na sina lolote la kufanya mimi kama mwanamke mrembo na mwenye
mvuto niliamua kutafuta njia rahisi zaidi ya kujipatia kipitano
nilifikiria njia nyingi sana ambazo zingeweza kunipatia angalau mlo na
mavazi katika siku zangu za maisha zilizobakia baada ya kugundulika nina
virusi vya ukimwi
Nikaanza kutafuta sehemu
ambazo naweza kuuza mwili wangu kwa pesa za chapchap niweze kuendeleza
maisha yangu ya kila siku , nilikuwa na ramani yangu kwanza pale OHIO ,
JOLLY , MACHENI , BILLS NA LATAVERNA hizo ni sehemu 5 kuu za starehe
jijini dare s salaam kwahiyo huko naweza kufanya kazi za kujiuza kwa
wiki nzima kila siku bila kuchoka .
Ohio ilikuwa nzuri ila
tatizo lake ni kwamba kila anayepita pale anakujua halafu unatakiwa
uonyeshe maungo yako hazarani mimi sikuzoea tabia hizo na sikuwa na
mhemko huo kwahiyo nilivaa miwani yangu na kuacha mapaja nje tu
waangalie wenyewe kama wanapenda watakuja . Kule macheni tatizo lake ni
mashoga wengi sana , yaani mwanaume anaweza akaja kutafuta Malaya
akakuchanganya wewe ni shoga , wale mashoga wanaojiuza hawana tofauti na
sisi wanawake tunaojiuza wakati Fulani ulitokea ugomvi mkubwa watu
waliamulia tulimgombea mwanaume .
Billa nako kuzuri ila
vijana wengi sana halafu hawana pesa , na vitoto vidogo vingi , nilikuwa
naogopa matatizo na vijana wa kule sikupenda kufanya mchezo na watoto
wadogo waliokuwa wananitaka hata kwa dau gani nilingoja wanaume wenye
pesa zao tu sio zaidi .
Basi nilianza safari za
kuelekea jolly club kwa ajili ya kujiuza mwili wangu nipate angalau
chochote cha kula na kufanya katika maisha yangu , pale jolly club
nilikutana na dada mmoja anaitwa Aisha , huyu dada nae ni kahaba mzoefu
akaanza kunionyesha mambo kadhaa wa kadha kuhusu biashara ya ukahaba na
kadhalika . Hapa ndio nilijufunza kwamba sio makahaba wote ni masikini
au hawajiwezi kuna wengine wanajiweza na wanazo fedha ila wanapenda
kufanya ukahaba yaani wamechoka na dunia wengine walikuwa na wanaume wao
wakaachika wakaamua kuja huku kwenda na mwanaume wowote yule anayekuja .
Wengine wana matatizo
katika ndoa zao kupigwa na kadhalika wanaamua kuja huku kujiuza au kukaa
huku ili kuepuka matatizo katika ndoa zao au mahusiano yao , wengine
ndio kama hivyo waume zao hawana nguvu za kutosha kufanya nao tendo la
ndoa wanaamua kuwa makahaba kila mtu na lake na mambo yake pia .
Wengine wanafanya huu
ukabaha kwa ajili ya kupeleleza yaani ni wapelelezi wa polisi au watu
Fulani katika serikali wako katika mitaa hii kuzuga tu , ili wafanikishe
kazi zao za uchunguzi kama polisi wa usalama sehemu walizoko .
Mwisho wa yote siku hizi
kuna vita kubwa katika biashara hii ya ukabaha mjini dare s salaam ,
mfano kule jolly kuna wazungu na wahindi wanakuja kufanya biashara ya
ukahaba kwahiyo wewe mwamfrika unakazi ngumu kuwapita wale wazungu na
wahindi au wachina .
Siku hizi wanaume wengi
wanapenda kitu kinaitwa JICHO yaani kufanya mapenzi kinyume na maumbile ,
hii nayo ni soko kuu , mfano mwingine anaweza kuja kwako anataka jicho
na wewe hutoi jicho maana yake unakosa soko suluhicho ni kujitoa mhanga
na kufanya mapenzi kwa kuwa mteja ni mfalme .
Mbaya zaidi kuna wanaume
wengine wanakuja wanaweza kukuchukua uende nao kufanya ngono kumbe
wanakupiga filamu za ngono wakati unafanya kitendo hicho haswa wazungu
wengine wanakupa ufanye mapenzi na mbwa wao au wanyama wao wengine mambo
yanaenda hivyo .
Biashata hii ya ukahaba
ilinichanganyia sana kwa miaka 2 niliyoifanya na kwa kweli hakuna
aliyenijua kama nimeadhirika na ugonjwa wa ukimwi nilikuwa najitunza na
kutuza siri zangu hizi kuu na sikupenda kuzoeana na watu sana hadi
waniulize hivyo
Siwezi kuhesabu ni watu
wangapi nimefanya nao ngono lakini ni zaidi ya 300 siku zingine nafanya
kazi na watu zaidi ya 3 kwa siku moja kwahiyo mambo yanaendelea halafu
wengi hawakupenda kutumia mipira ya kiume yaani kondo walipenda kuja
hivi hivi tu bila kinga chochote kile
Na mimi nilikuwa
nimeshaadhirika nilichokuwa natafuta ni fedha za kuendeleza maisha yangu
kwahiyo hata kama nikifanya ngono zembe bila kinga mimi hainiumi sana
kwa kuwwa nilishajua hali yangu sikuweza kuitengua siku wa chochote cha
kufanya zaidi ya hichi .
Hii ilikuwa ni kulipiza
kisasi kwa maasi ambayo yule kijana alinifanyia kuniambukiza UKIMWI kwa
makusudi huku akijua kabisa ameadhirika siku nyingi ,kwakuwa yeye
ameamua kuniuwa mimi basi na mimi nauwa wengi zaidi na sijali kuhusu
dhambi hizi nilizozifanya na sijutii kabisa .
MAISHA YA MTAANI
Huku mitaani waliniita
majina kama JLo wakati mwingine salma hayek yaani wale waigizaji maarufu
duniani kwa urembo nilio nao na mvuto wake , hakuna hata mmoja
aliyekuwa na mawazo kama nimeadhirika au la kwa maana yule kijana
niliyekuwa nae kama mpenzi alikufa kifo cha ghafla watu walisema amekufa
kwa pressure .
Mitaani napo nilikamua
kinoma , waume za watu walikuja mpaka mlangoni kwangu na magari yao ,
wananipakia na kunipeleka katika kumbi za starehe na sehemu nyingine
nyingi sana wengine walinihonga mali na mambo kibao kisa wamenipenda
wanataka ngono
Na kwa uhakika hawa
wanaume niliwapanga sawia kabisa na hakuna aliyeweza kutambua mimi nina
wanaume wangapi na wanaishi wapi wengi walijua ni washirika wangu katika
kazi zangu na mambo yangu mengine kwanza sikupenda kuongea na mwanaume
wowote chumbani kwangu wote nilikuwa nawaambia tukutane mbali kidogo na
nyumbani haswa kati katika ya jiji .
Katika hawa wateja wangu
kulikuwa na kijana mmoja anayeitwa juma huyu juma alikuwa na rafiki yake
mmoja anayeitwa Shy , kijana mwembamba mwenye umbo la wastani , hana
ndevu halafu ni mcheshi sana , alifanikiwa kuiteka moyo wangu , sasa
nilitaka kumwambia mara kibao kwamba nimemzimia
Tatizo ni kwamba anayekuja
kunichukuwa pale ni juma , juma huja pale kwa kusindikizwa na Shy ,
basi juma akanitambulisha katika website moja inayoitwa darhotwire
www.darhotwire.com , nyumbani nikienda kupumzika nilipenda kushinda
katika tovuti hii kuchat na marafiki na watu wengine .
Huyu shy nae nilimkuta
katika site hii usiku wa manane anachat na jamaa zake , ila siku moja
nilikutana na kijana mwingine anayeitwa politeman , huyu ndio
alinichanganya kabisa , kwanza jina lake na jinsi aliyokuwa anaongea
kweli nilizimia mwenyewe bado nikawa na siri kubwa moyoni je hivi
tukifanya ngono inakuwaje ?
Maisha yaliendelea tu ,
basi nikimpenda politeman , huyu kijana akawa anakuja mpaka nyumbani
kwangu wakati mwingine na huwa nampa computer yangu aitumie tukaenda
zaidi nilimshitukia kumbe huyu polite ana urafiki wa kimapenzi na dada
mwingine anayeitwa salma siku moja walipanga kwenda kufanya mapenzi
lakini polite akakataa ?
Sikuamini macho yangu wala
masikio siku nyingi kama naota kumbe polite alikuwa na urafiki na dada
mmoja anaitwa Maria Chipz ?? Sikuamini , nilimuheshimu sana maria na
sikutegemea kama anaweza kufanya hivyo hata siku moja , muda ukaenda
kumbe kuna dada mwingine anaitwa REHEMA naye alikuwa anampenda Politeman
Miss upanga Naye anampenda Politeman we acha tu
Nikamwaga chini sikupenda
tabia zake za kitoto kitoto anazowafanyia hao kina dada wengine ingawa
nilifanya nae mapenzi kama mara 4 hivi na mara zote hatukutumia kinga na
nilikuwa nimeadhirika ila ni siri yangu , polite hajui na wengine wote
hawajui lakini ndio maisha hayo
Haya ndio hivyo , nami
sasa hivi nakaribia kufariki dunia niko zangu kitandani hapa hospitali
ya Amana mkoani dar es salaam , kweli maisha ni safari ishi upendavyo na
sio watakavyo , mwisho wa yote dunia sio hadaa wala dunia haikuchukii
au haitaki kukufanyia chochote kibaya
Bali watu ndio hadaa ,
hata kama ni ndugu yako rafiki yako , hakikisha humpi nafasi akutawale
aweze kukumiliki wewe na kukuamrisha chochote kile anachotaka yeye ,
kama ukifanya hivyo ndio utaishia kubaya kama mimi
Bosi wangu alinimiliki sana nikampa penzi , kijana wa mitaani nae alinimiliki mpaka sasa nimeaona faida zake na hasara zake
Wacha ningoje siku zangu nife nizikwe niende ahera Kwaheri .
Mtete Focus Blog
|
Jumatatu, 14 Oktoba 2013
STORY; SIMULIZI YA KUSIKITISHA YA KAHABA MPENDA UTAMU
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni