Wakati bado unasubiriwa uchunguzi
kuhusu tukio la kinyama lilomkuta mwandishi wa habari wa itv na radio
one Ufoo Saro,taarifa nilizozipata kutoka kwa ndugu wa marehemu Atery
Mushi,ni kuwa marehemu mushi alikuwa ana ugomvi wa muda mrefu kuhusu
nyumba ambayo ilikuwa ikimilikiwa na marehemu Mushi.ni kuwa wakati
marehemu Mushi akiwa nje ya nchi,Ufoo alifanikiwa kubadilisha hati za
umiliki wa nyumba hiyo iliyopo maeneo ya Minjingu,manispaa ya Arusha kwa
kushirikiana na mama yake.Marehemu Mushi aliporudi alijaribu kuwawekea
vikao x3 kuhusu jambo hilo lakini hakufanikiwa.Kutokana na dhahama hiyo
ndipo marehemu Mushi alipoamua kuandika maelezo juu ya mambo
aliyofanyiwa na uamuzi aliouchukua.barua alioindika aliiacha nyumbani
kwa mama yake Ufoo.kama uchunguzi ukikamilika huenda police wakaiweka
hadharani,pia kuna uwezekano wa Ufoo kukabiliwa na mashtaka mara
atakapotoka hosp. kutokana na maelezo ya barua aliyoiandika Mushi kabla
ya kujiua.Marehemu Atery Mushi anatokea ktk kijiji cha Uru Maeda mkoani
Kilgmanjaro...soure:ndugu wa karibu wa marehemu Mushi.
Mtete Focus Blog
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni