.

Jumatano, 9 Oktoba 2013

HUU WIVU NI NOMA SANA..!! JAMAA AMFUNGA KUFULI MPENZI WAKE NA KUONDOKA NA FUNGUO ILI ASI MCHEAT..!!



Mwanamme mwenye wivu amfungia na kufuli mpenzi wake ili asi cheat na kuondoka na funguo.
Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 25 aliamua kumshtaki mpenzi wake kwa polisi  baada ya kuchoka kuvumilia maumivu ya kukaa masaa bila kwenda haja na kuogopa kukata Jeans kwa mkasi kwa kumuogopa mpenzi wake huyo mwenye Umri wa miaka 40.
 
Mtete Focus Blog

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni