.

Jumatano, 27 Agosti 2014

UKATILI! Msicha wa kazi achomwa moto sehemu zake za siri kisa Kakojoa kitandani



Habari  kutoka  mkoani  Arusha  zinaarufu  kuwa  msichana  mmoja  wa  kazi ( hausigeli)  ameungua  na  kuharibika  vibaya  sehemu  zake  za  siri  baada  ya  kuchomwa  moto  na  bosi  wake….
uchi2UKA
 
Kwa  mujibu  wa  mtu  aliyetutumia  picha  za  tukio  hilo, Binti  huyo  anadaiwa  kuchomwa  moto  baada  ya  kukojoa  kitandani  usiku  akiwa  amelala.
uchi1
Tunaendelea  kuangaza undani  wa  tukio  hili.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni