.

Jumatano, 6 Agosti 2014

MSANII HUYU WA BONGO MUVI AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA BODABODA


Mwili wa aliyekuwa msanii wa filamu Bongo, Patrick August, ‘Bryton’ ukiwa ndani ya gari.
“Alikuwa akiendesha mwenyewe pikipiki, akavaana uso kwa uso na gari, ilikuwa ni ajali mbaya sana kwani marehemu alipasuka vibaya kichwa hali iliyosababisha damu nyingi kuvuja na kusababisha kifo chake,” alisema Kaftany.
Marehemu Patrick August, ‘Bryton’ enzi za uhai wake.
Baadhi ya sinema alizoigiza enzi za uhai wake ni pamoja na Muuza Genge na Mapenzi ya Fukara iliyomshirikisha Kulwa Kikumba ‘Dude’ na wasanii wengine.
Mwili wa marehemu Bryton ulisafirishwa jana (Jumanne) kwenda  Rombo, mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi yaliyotarajiwa kufanyikwa leo Jumatano.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni