.

Jumatano, 27 Agosti 2014

Hivi ndivyo Ali Kiba Alivyopagawisha Serengeti Fiesta Tanga



Gwiji la muziki wa kizazi kipya, Alikiba, alitoa burudani   ya  nguvu kwa Wanatanga kwa wimbo wake mpya-Mwana Dar es salaam- usiku wa Serengeti Fiesta Tanga, katika viwanja vya Mkwakwani jinjini Tanga, hali  iliyomfanya  alazimishwe  na  mashabiki  hao  kuurudia  wimbo  huo  mara  10  zaidi.
Akiwa jukwaani, Alikiba alilazimika kuuruduia wimbo huo kwa zaidi ya mara 10  kwani pindi alipoonyesha dalili ya kumaliza kuimba, mashabiki zake walipiga kelele kuomba arudie kwa mara nyingine.
kiba
Alikiba ameahidi makubwa zaidi jumamosi hii, Serengeti Fiesta Moshi.
 
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni