.

Alhamisi, 14 Novemba 2013

KIGOGO AMBEYE NI MH FLANI MAARUFU MJINI DODOMA AGAWA KICHAPO KWA MADENT WA 3 WA VYUO TOFAUTI VYA DODOMA:

 Wanafunzi watatu wa vyuo vya vya Dodoma ambapo mmoja wao ni mwanafunzi wa CBE na wengine hawajajulikana, walijikuta katika wakati mgumu tena wa aibu kubwa sana baada ya kuchezea kichapo kitakatifu yani ni kipigo cha mbwa mwizi.     Ni baada ya kukutwa wanaongea habari za umbeya za kumchafua   mh Mmoja mfanyabiashara na maarufu sana Mjini Dodoma ambaye ana jina maarufu kwenye midomo ya wambea na wadada wa Vyuoni na mtaani wanaojifanya wanafahamu watu,    Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari na camera zetu ambazo zipo kila kona zilifanikiwa kupata umbea wa kuaminika kwa watu wa karibu wa hao jamaa waliogawa dozi, Inasemekana jamaa hao si watu wakaida na walishatoaga kichapo ktk saloon moja maarufu kwa umbea hapa mjini Dodoma Ingawa hatukufanikiwa kupata jina kamili ya soloon hiyo ya kike na maeneo ilipo, Boss ngasa.com bado tunaendelea kufanya uchunguzi wa soloon hiyo ya wambea na tutaitaja muda si mrefu. 
Wanafunzi watatu wa vyuo vya vya Dodoma ambapo mmoja wao ni mwanafunzi wa CBE na wengine hawajajulikana, walijikuta katika wakati mgumu tena wa aibu kubwa sana baada ya kuchezea kichapo kitakatifu yani ni kipigo cha mbwa mwizi.




Ni baada ya kukutwa wanaongea habari za umbeya za kumchafua
  mh Mmoja mfanyabiashara na maarufu sana Mjini Dodoma ambaye ana jina maarufu kwenye midomo ya wambea na wadada wa Vyuoni na mtaani wanaojifanya wanafahamu watu,



 Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari na camera zetu ambazo zipo kila kona zilifanikiwa kupata umbea wa kuaminika kwa watu wa karibu wa hao jamaa waliogawa dozi, Inasemekana jamaa hao si watu wakaida na walishatoaga kichapo ktk saloon moja maarufu kwa umbea hapa mjini Dodoma Ingawa hatukufanikiwa kupata jina kamili ya soloon hiyo ya kike na maeneo ilipo, Boss ngasa.com bado tunaendelea kufanya uchunguzi wa soloon hiyo ya wambea na tutaitaja muda si mrefu. 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni