Inakuwa ni jambo gumu sana kuliamini hasa kabla haujatazama ni nini kilicho tokeawakati huo 2012, ambapo mwanamke mmoja aliamua kulala na maiti ya mume wake katika kitanda kimoja kwa kipindi kinacho dhaniwa kuwa kilikuwa ni mwaka mmoja. mwanaume huyo marehemu Marcel H, 79 alifariki mwezi wa kumi na moja mwaka jana katika nyumba za kupanga za Brussels ambapo kifochake kilisababishwa na ugonjwa wa Asthma, na mke wake mpenzi aliyekuwa na miaka 69 ambaye jina lake halikutajwa aliamua aendelee kukaa nae kwa kipindi chote hicho bila hata kujali harufu mbaya ambayo ilikuwa ikuitoka.
hata
hivyo majirani hawakuweza kutambua swala hilo kwamba yule mama alikuwa
akilala na maiti ndani ya nyumba hiyo hadi ilipokuja kugundulika kwa
sababu mwenye nyumba alikuwa akidai kodi yake ya mwaka , baada ya
kuingia ndani ya nyumba ndipo alipo gundua hayo... sasa hivi ndivyo
ilivyo kuwa
Mwanamke huyu kweli jasili sana alikuwa analala pembeni ya maiti ya mume wake kama inavyo onekana
akiwa amefariki mwanaume ambaye alikuwa na miaka 79
Maiti hii ikiwa inaendelea kuoza wakati mke wake anaendelea kulala nayo... hii ni sinto fahamu
Tazama
maiti hii ilivyo kuwa imeoza, mbaya zaidi kulikuwa na baadhi ya
majimaji kutoka katika mwili huu ambao ulisababisha harufu mbaya sana
lakini bado mama huyu alikuwa akilala na maiti hii bila kujali, pia
kulikuwa na wadudu hatari ambao wanapatikana katika mwili ulio oza kama
funza lakini mama huyu alikuwa hata hajali...
Picha na Daily mail
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni