Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani ambaye hakufahamika jina jana alinaswa na Mtandao huu akiingia ofisini pekupeku katika ofisi yao ya makao makuu jijini Dar es Salaam.
Hii ni kutokana na dimbwi la maji yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha. Jengo hilo ndipo kuna ofisi za mkuu wao Kamanda Mohammed Mpinga.
(Picha na Makongoro Oging' / GPL)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni