
Yaani hi #teamweam wako tayari na standby kumtetea Wema wao katika hali yeyote ile. Na ni kwamba wamejitolea muhanga kumsupport Wema 100%.
Haya ndo mambo yanayoendelea huko Instagram jamani eee Diamond atajutajee kumkataa Madam Wema... hebu jisomeeee







Yaani
comment ni nyingi sana unaweza ingia instagram ukajisomea. Wadau wana
hasira sana na Rais ama kweli Wema yuko juu na hawa ni 100% ride or die
loyal fans wa Wema.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni