TZA:Mpaka sasa hivi ripoti toka south Africa mmekwisha ipata?
KENETH:Aaaah,hilo ni suala la kifamilia kwa hiyo hatuko tayari kulingelea kwa sasa hivi.
TZA:Tulikua tunaomba kufahamu kama imeshapatikana ama bado,na kama imepatikana au haijapatikana ni hatua gani mmezichukua kama wanafamilia.
TZA;Sawa,pengine mpaka sasa chanzo cha kifo chake kimeshafahamika??
KENETH:Daah!,hiyooo,hiyo nayo hatuwezi kuiongelea saiv,sio wakati wake.
Albert Mangwea alifariki south africa alipokuwa ameenda kufanya show.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni