Muuguzi anasema Watoto hawa walizaliwa wakiwa na uzito uliotofautiana kwa mtoto wa kwanza hadi wa mwisho kuanzia kilo 1.6,1.5,1.5 na 2.0 ambapo baada ya kuona hali hiyo ilibidi kumpa rufaa kwa ajili ya msaada zaidi katika Hospitali ya wazazi ya Meta ambapo waliwekwa kwenye Chumba cha joto.
Aida Nakawala alisema hali yake kiuchumi siyo nzuri kuweza kumudu kuwalea watoto hawa kwa sababu mume wake ni mkulima tu hivyo anaomba msaada wa hali na mali kutoka kwa wasamaria wema.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni