.

Alhamisi, 17 Oktoba 2013

Picha, Wale Wanaopenda Sneaker Za Kweli, Nike Mpya 'Nike Air Trainer 1' Ndio Hizi

 Wale wanaopenda sneaker za kweli Nike wanasema hii Sneaker ni mjumuisho wa raba zote kali unazo zifahamu kutoka Nike na yenye kila aina ya rangi bora. Pia unaruhusiwa kuvalia raba hii na nguo tofauti za michezo na mtoko pia. Sneaker hii inaitwa Nike Air Trainer 1.



Picha, Video Ya Future Anayo Shiriki Star Miley Cyrus

 
Boy Friend wa Ciara, Future yupo mbioni kumaliza video yake mpya inayoitwa Real & True ambayo mpaka sasa imeanza kushika vichwa vya habari baada ya picha za video model wa video hio ambaye ni Miley Cyrus.  

Picha zilizo vuja zinaonyesha msanii Miley Cyrus amepakwa rangi ya silver kwenye mwili wake wote. Fahamu kuwa hapo Miley Cyrus yupo uchi kabisa kama alivyo zaliwa na ndio mwongozaji wa video hio alitaka iwe hivyo.
 

Huyu ndio mmoja kati ya wasanii wanne wa nje watakaodondoka kwenye Fiesta 2013

Clouds Media leo hii wamethibitisha kuwaleta wasanii zaidi ya watatu kutoka nje ya Tanzania (International artist), na leo hii wamethibitisha kudondoka kwa msanii kutoka
Nigeria Davido anaefanya poa sana Africa na single kadhaa kali, ikiwemo Gobe.
Davido akiongea  kutangaza ujio wake
Wasanii zaidi ya 40 kutoka Tanzania watapanda jukwaa hilo la Fiesta na leo hii imetoka list ya wachache tu wakiambatana na Davido ambao ni Afande Sele, Makomando, Mr Blue, Young Killer,  Young D, G Nako, Joe Makini, Nikki wa pili, Kala Jeremiah na Chidi Benz, list itaendelea siku ya kesho ambapo utamsikia msanii mwingine wa nje atakae tua bongo pamoja na muendelezo wa list ya wasanii wa hapa hapa.
Fiesta itarajiwa kufanyika siku ya jumamosi ya tarehe 26 ndani ya viwanja vya leaders.

Video: Sugua gaga (Teaser) - Shaa

kama hukuskia basi ndo unajua sasa kuwa Shaa kwa sasa amesign mkataba wa miezi 6 kuwa chini ya uongozi wa mtu mkubwa fella (mkubwa na wanawe)
na sasa tunaanza kuona matunda ya uongozi huo.... hii ni teaser tu ya ujio mpya wa Shaa, wimbo unaitwa "sugua gaga" ...kaa tayari kwa ujio wake mpya chini ya mkubwa na wanawe.
Mtete Focus Blog

The Game anunua cheni 2 za Cash Money kwa sh mil 64,360,000, ampa moja Birdman

baada ya kutangaza kupitia album yake ya mwisho Jesus Piece. The Game sasa rasmi amesaini mkataba na Cash Money Records wiki hii, na kuweka kama kumbukumbu, Game alijinunulia na kumnunulia C.E.O wa Cash Money, Birdman cheni  zinazofanana zenye nembo ya CAsh Money, yenye thamani ya dola 40,000 ambayo ni sawa na shilingi millioni 64,360,000, moja ikiwa ni gold na nyingine platnum. Kampatia moja Birdman kama asante kwa kumularibisha katika familia ya Young Money Cash Money Records.
 
Mtete Focus Blog

Rapper Wa Muda Mrefu Snoop Dogg Amebadilisha Jina Mara Nyingine Tena,Fuatilia Hapa

Rapper Snoop Dogg Aka Calvin Cordozar Broadus Jr amebadilisha tena jina lake na kuanza kujiita SnoopZilla.  Rapper huyu mwenye miaka 41 amebadilisha jina hilo ili kutangaza zaidi project yake mpya anayofanya na mwimbaji Dam-Funk, na itaitwa 7 Days of Funk.

Jina hili jipya limekuja baada ya mwaka moja alipo badilisha jina na kujiita Snoop Lion ili kutangaza kazi yake mpya aliyo kuwa akifanya yenye mahadhi ya Reggae iliyoitwa Reincarnated 
Mtete Focus Blog 

Rapper Octopizzo Kwenye Collabo Na Msanii Mkubwa Wa Nigeria.


Octopizzo rapa anayefanya poa sana katika gemu Afrika Mashariki anazidi kuongeza idadi za kolabo na wasanii mbalimbali barani Africa na habari iliyopo ni kwamba rapa huyo amepiga kolabo na mwanamuziki mkongwe wa nchini Nigeria, King Sunny Ade.
Wawili hao tayari wamekwisha rekodi wimbo mmoja unaoitwa 'Tlongo' kupitia studio maarufu ya Coke Studio ambapo ameweka wazi kuwa kukutana na gwiji huyo wa Nigeria ni kama amekutana na rapa nyota wa Marekani Jay Z.
Aidha Octopizzo ameelezea kuwa yupo mbioni kufanya kolabo zingine zaidi na wanamuziki wakongwe katika gemu kwani nia na dhumuni lake haswa ni kutanua wigo wa muziki wake duniani.

Ndoa Ya Producer Timbaland Hatarini

 Mke wa mtayarishaji muziki Timberland, Monique ameripotiwa kuanzisha mchakato wa kuachana na producer huyu na hii ikiwa ni baada ya miaka 5 ya kuishi pamoja kama mke na mume.
Katika nyaraka za talaka ambazo amezifile mwanamama huyu, madai ya Monique baada ya kutengana na Timberland ambaye utajiri wake ni zaidi ya dola milioni 80, ni malipo ya gharama zote za malezi ya watoto pamoja na gharama za kesi hii ambayo amedai kuwa amemkopa rafiki yake pesa za kumlipa mwanasheria anayesimamia madai haya.
Kimbembe kikubwa katika madai ya Monique ni juu ya malezi ya moja ya watoto wake ambaye Timberland siye baba yake halisi, ambapo mama wa mtoto amedai kuwa ni jukumu la Timberland kumlea vile alishamkubali kama mtoto wake wakati walikuwa wakiishi pamoja.
Mtete Focus Blog

Jumatano, 16 Oktoba 2013

MCHUNGAJI WA KANISA ASHIKWA AKITAZAMA PICHA ZA NGONO INTERNET CAFE


A pastor escaped a beating yesterday after he was rescued by members of his congregation when he was caught red-handed watching p*rn at a cybercafé in Kisumu town.

According to a witness, the pastor entered the cybercafé and asked for a secluded place - a seat at the far end of the room where no one would pass and disturb. He claimed that he wanted to download some church contents and needed no disturbances.

The attendant at the cybercafé granted his wishes and secured him the place he wanted. However, he started downloading p*rn*graphic contents while watching some of them. He put on his ear phones to listen to the groans and the moans by himself.

From his seat, he could be seen moving the legs and looking unsettled. The witness said that he was shocked at the n*de photos the pastor was viewing.  He informed the attendant who showed him the rules at the wall regarding viewing of any dirty content in the cybercafé.

The defiant pastor defended himself that it was his right “to watch anything” since he would pay after all. Shocked and disgusted by his answers, the locals grabbed him threatening to beat him up.  Some argued that he was even using church donations to watch the dirty content.


His church members however rescued him and paid the cybercafé attendant the amount supposed to be paid before leaving the scene in haste lest things got worse.

Mtete Focus Blog

NAOLEWA TU SABABU YA MIMBA YAKE ILA SIMPENDI HATA KIDOGO...


Nipo chat room ya one of social media.........nimemeet na binti mmoja rafiki yangu sana wa enz izo za kombolela kijijini

bint ni mjamzito sasa na mipango ya ndoa inaendelea.........katka kumdodosa anadai hakumpenda jamaa ila tu anaolewa kwa ajili ya ujauzito wake aliobeba na kutunza heshima yake na familia........what a looser

nimejaribu kumshauri ni bora akapange nyumba aishi na mwanae rather than comitting such a serious comitment with a fake heart..kagoma katakata


vikao vinaendelea pale msimbazi center vya sendoff August.....mfike bila kukosa Jumapili saa tisa unusu na michango yenu....mwisho wa mwezi huu..
Mtete Focus Blog

TUSICHOKIJUA KUHUSU JANGA LILILOMSIBU UFOO SARO

Wakati bado unasubiriwa uchunguzi kuhusu tukio la kinyama lilomkuta mwandishi wa habari wa itv na radio one Ufoo Saro,taarifa nilizozipata kutoka kwa ndugu wa marehemu Atery Mushi,ni kuwa marehemu mushi alikuwa ana ugomvi wa muda mrefu kuhusu nyumba ambayo ilikuwa ikimilikiwa na marehemu Mushi.ni kuwa wakati marehemu Mushi akiwa nje ya nchi,Ufoo alifanikiwa kubadilisha hati za umiliki wa nyumba hiyo iliyopo maeneo ya Minjingu,manispaa ya Arusha kwa kushirikiana na mama yake.Marehemu Mushi aliporudi alijaribu kuwawekea vikao x3 kuhusu jambo hilo lakini hakufanikiwa.Kutokana na dhahama hiyo ndipo marehemu Mushi alipoamua kuandika maelezo juu ya mambo aliyofanyiwa na uamuzi aliouchukua.barua alioindika aliiacha nyumbani kwa mama yake Ufoo.kama uchunguzi ukikamilika huenda police wakaiweka hadharani,pia kuna uwezekano wa Ufoo kukabiliwa na mashtaka mara atakapotoka hosp. kutokana na maelezo ya barua aliyoiandika Mushi kabla ya kujiua.Marehemu Atery Mushi anatokea ktk kijiji cha Uru Maeda mkoani Kilgmanjaro...soure:ndugu wa karibu wa marehemu Mushi.
Mtete Focus Blog

AIBU:KIJANA AUZA PICHA ZA UTUPU ZA MAMA YAKE KWENYE INTERNET

Kijana mmoja wa nchini New Zealand amefanya kitendo ambacho kimewastaajabisha watu wengi pale alipochukua picha za uchi za mama yake na kujaribu kuziuza kwenye internet ili apate pesa za haraka haraka.
Wakati vijana wengi wenye umri wa miaka 18 wasingejaribu hata kupitisha mawazo ya mama zao wakiwa watupu wanakuwaje, hali ni tofauti kwa kijana Michael, mwanafunzi katika mji wa Auckland, New Zealand kwani yeye alichukua picha za utupu za mama yake Jennifer mwenye umri wa miaka 44 na kujaribu kuziuza kwenye internet.

Kwa mara ya kwanza alizipiga mnada picha tano za mama yake kwenye internet akizipa jina "Picha tano za uchi za mama yangu" ili kumkasirisha mama yake baada ya kurumbana naye, alisema kijana huyo bila aibu wakati akihojiwa na gazeti la Herald Sunday.

Wakati tovuti ya TradeMe ilipozishtukia picha hizo na kuziondoa siku moja baada ya kuziweka, kijana huyo aliweka picha zingine za mama yake akizipa jina "Picha za mrembo" safari hii akiwa amepewa ruksa na mama yake huyo.

Safari hii picha alizoziweka nyingi zilimwonyesha mama yake akiwa amevaa vizuri isipokuwa picha moja ambayo mama yake alikuwa amevaa kichupi tu.

Michael ambaye hakutaka jina lake la pili litajwe alisema kuwa aliuza picha za utupu za mama yake ili apate pesa za 'chap chap'.

Mama yake akiongea na gazeti hilo alisema kuwa alikasirishwa sana na picha za awali lakini alifurahishwa na picha za mara ya pili kwani alikuwa akionekana mrembo kweli na watu wengi walitoa maoni ya kumsifia.

"Nilitaka asilimia 50 ya mauzo ya picha hizo" alisema mama huyo naye bila aibu na kuongeza " nitayakumbuka maoni mazuri yaliyotolewa juu ya picha zangu".

Mama huyo alidai picha za mara ya pili ambazo mwanae alijaribu kuziuza zilipigwa na rafiki wa familia hiyo miaka michache iliyopita.

Picha hizo ziliangaliwa mara 11,000 kabla ya kuondolewa na wamiliki wa tovuti hiyo kwa kuonekana hazifundishi jamii maadili mema.


"Hatutaki tovuti yetu iwe ndio sehemu ya watu kuweka picha za mama zao wakiwa na vichupi tu" alisema msemaji wa TradeMe.

Mtete Focus Blog

Magazeti ya leo October 17 2013

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
,
,
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.