.

Ijumaa, 10 Oktoba 2014

NI KWELI OMMY DIMPOZ!!!



-2
Kwa muonekano wa Ommy Dimpoz umeashilia kweli Kigoma ndio nyumbani “Home Sweet Home” kutokana na mandhari ya treni na kama unavyojua usafiri mkubwa kwa miaka hiyo ulikuwa ni gari moshi aka treni, sasa hapa Ommy ndiyo anaingia Dar au? ila katisha sana.
All in all usikose kuzidi kuangalia kichupa cha ‘Ndagushima’ kinachofanya poa kwenye luninga.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni