hizi mtu tatu ziwache |
Tanzania ilizizima ulikuwa ni msiba mkubwa sana RIP Ngweah |
Bosslady wa Tanzania kukamatwa na sembe Macau kila mtu anasema lake |
FineAssGirl kukamatwa na sembe SA na kwakipindi kifupi kuachiwa huru na kurudi home salama salmin wengi limewakera ila wamesema hewala |
Tukiwa tumebakiza saa chache kabla hatujaingia mwaka mpya kwanza kabisa tumawashukuru wadauzii kwa kuwa pamoja na sisi mwaka mzima, senkyuuu
kwa upande wangu haya ndio matukio yaliyonisisimua mwaka 2013 kama una yako usisite ktk comment jimwageee umwagie ilimradi usitukane matusi maana huu mwaka una miezi 12 kama mingine ila ulikuwa mrefu matukio lukuki.....
leo tunakumbushana vitu vilivyo hit ndani na nje ya Tanzania
ninakutakia kila la kheri na mwaka mpya na jipange mapema hakuna lisilowezekana chini ya juu, ni kumomba Mungu tuu
senkyu
cdt, The Choice