Kwenye hii party ambayo ilifanyika Golden Jubilee Towers Dar es salaam Kilimanjaro hall ilihudhuriwa na mastaa mbalimbali wa Tanzania wakiwemo Waigizaji, Watangazaji wa Radio na TV, Wasanii wa bongofleva na wengine.
Kwenye party hii management inayomsimamia Diamond ilimzawadia Diamond gari aina ya BMW ambayo inaonekana kwenye picha kama zawadi kwenye hii siku yake kubwa ambapo miongoni mwa mastaa waliohudhuria pia ni pamoja na T.I.D, Chidi Benz, Profesa Jay, B12, Mwigizaji Lulu, Ommy Dimpoz na wengine.
Unataka niwe nakusogezea kila stori inayonifikia zikiwemo pichaz,
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni