HIZI NDIZO CHANGAMOTO ANAZO KUMBANA NAZO BINTI HUYU MWENYE SURA NA MAUMBILE KAMA YA KIUME

“Nimerithi hizi nywele toka kwa mama yangu na zilinianza nikiwa na miaka 21. Kadri miaka ilivyozidi kusonga mbele, tatizo hili lilizidi kusambaa mwili mzima.
“Mwanzo
nilikuwa najisikia vibaya sana maana watu walikuwa wakiniona ni kiumbe
wa ajabu, lakini baadae nilizoea na ikanilazimu nikubaliane na ukweli….
Akiongelea kuhusu changamoto za kimahusiano anazozipata ,Queen alikuwa na haya ya kusema:
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni