WALIOLIPUA BOMU KWENYE MKUTANO WA CHADEMA JIJINI ARUSHA WAKAMATWA...!!Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw Magesa Mulongo. WATUHUMIWA walioingiza mabomu ya kurushwa kwa mkono yaliyotupwa Arusha Mei na Juni katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Olasiti na kwenyemkutano wa wa hadhara wa Chadema, Soweto mkoani Arusha, wamekamatwa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni