.

Jumatano, 18 Septemba 2013

"SINA MPANGO WA KUJIONGEZEA MUDA WA KUKAA MADARAKANI KAMA WACHOCHEZI WANAVYODAI"......RAIS KIKWETEWaziri wa Katiba na Sheria, Mathis Chikawe amesema Rais Jakaya Kikwete hana mpango wa kuongeza muda wa uongozi wake baada ya 2015 kama baadhi ya wanasiasa wanavyodai.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni