.

Jumanne, 24 Juni 2014

Dully Sykes Anahitaji Msaada Wako Na Unaweza Kuwa Deal Pia Kwako


Prince Dully Sykes ni msanii ambaye siku zote anapewa heshima ya kukaa kwenye game kwa muda mrefu bila kuchuja akiwa na hits kibao.
Dully SykesMwimbaji huyo ameomba msaada wako wewe shabiki wake kwa kumsaidia kupata model wa kike au wa kiume, au kama wewe unaweza kuwa na sifa hizo msaada ambao unaweza kugeuka kuwa deal kwa upande wako.
“HABARI MARAFIKI ZANGU NAHITAJI MODELS KIKE/KIUME KWA AJILI YA VIDEO SO ATAKAE ONA ANAWEZA KUNISUPPORT ANICHEK KWA INSTAMSG.” Dully Sykes ameandika kwenye Instagram

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni