2. Mark Haamini kabisa kuwa kuna Mungu
3. Hajawahi kumiliki TV! Maisha yake amekuwa akitumia computer tu
4. Ana Matatizo ya kutambua baadhi ya rangi, rangi yake kuu anayoipenda ni bluu na ndio sababu facebook imetawaliwa na rangi hiyo!
5 Mara kadhaa amepigiwa kura kuwa mtu maarufu anaevaa vibaya zaidi! Mara nyingi huvaa t-shirt na jeans au kaptura na sandals. wengi huona kama hajijali
6.Unaweza kumblock mtu yeyote facebook kasoro yeye tu! Ingia kwenye ukurasa wake http://www.facebook.com/zuck na ujaribu uone!
7.Mwaka 2009 Mark alivaa tai kwa mwaka mzima kuonyesha ni jinsi gani mwaka huo ulikuwa 8 serious. Baada ya hapo mark huonekana mara chache sana akiwa amevaa tai na Suti.
8.Akiwa na miaka 13 tu mark alitengeneza mtandao ndani ya nyumba yao uliokuwa ukiziwezesha kompyuta kutumiana meseji ndani ya nyumba yao!
9. Licha ya Twitter kuwa Mshindani namba moja wa facebook, Mark ni mtumiaji wa mtandao huo pia! Ana akaunti twitter akiwa na wafuasi
10. Mwaka 2011 aliamua kutokula nyama yeyote mpaka awe amechinja mwenyewe! Ni utamaduni wake kujiwekea challenge moja kila mwaka!