TAZAMA MAPICHA YA INTERVIEW YA LULU NDANI YA MKASI SHOWWiki Iliyopita New Season ya Mkasi Ilimkaribisha msanii wa Filamu Lulu Michael kwenye kipindi cha mkasi. Hii ni baada ya kutoka Jela alipotolewa kwa dhamana. Kaa tayari kwa vipindi vya Mkasi Vinavyofata kujua Lulu aliongelea nini? Je Safari hii atatudanganya MIAKA???? Photography by @SlideVisuals
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni