Ommy Dimpoz ambae yuko Marekani kwa ajili ya shows kadhaa ndani ya wiki 3 zilizompeleka huko, amepata nafasi ya kuhojiwa na kituo cha VOA, na kuzungumza mengi juu ya muziki wake.
Dimpoz akihojiwa na mtangazaji wa kituo hicho "Sunday Shomari" ambapo alizungumzia kuhusu matatizo ya wasanii kutumia madawa ya kulevya nchini, historia yake katika kazi yake ya muziki, tour iliyompeleka huko, malengo yake ya baadae na mengine mengi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni