.

Jumanne, 30 Septemba 2014

MCHUNGAJI ALIYEWALISHA WAUMINI MAJANI AJA NA MPYA..SASA AWAPONYA WAGONJWA KWA KUWAKANYAGA KANYAGA

Yule Pastor Mwenye Vituko Vingi Kutoka South Afrika anayejulikana kwa jina la Lesego Daniel amekuja na Mpya baada ya kuwalisha majani waumini na kubadilisha petrol kuwa Juice ya Apple , Sasa eti anawaponya Waumini wake ambao wanasumbuliwa na magonjwa kwa kuwakanyaga migongoni...Angali Picha Hapo Juu

CHEKI AIBU YA KUTISHA: MTOTO WA KIGOGO ALIVYOTUPIA PICHA MBOVU SANA KWENYE MITANDAO!



ASALALEEEEE Imekuwa ni jambo la kawaida na pengine linalochukua sura mpya kwa sasa kutokana na watoto wa vigogo kupiga picha tata yaani za uchi na kuzitundika katika mitando kana kwamba wanajiuzaa.

Nadani wadau mtakumbuka hapa nchini watoto wengi mastar mbali mbali wa kike wamekuwa na tabia hiyo ya kuanika miili yao katika mitandao haswa BBM na kujinadi kwa wanaume,sina haja ya kuwataja majina hapa maana ni uandikwa wameshaandikwa sana ila bado kila kukicha wanaibuka wengine.

Sasa nchini ghana nako mtoto wa kigogo mmoja ametundika picha zake mtandaoni na kuandika mwenye pesa ananitafute nitamtimizia kila kitu anachokitaka katika mwili wangu,hii inaonyesha hali mbaya sana kwani zaman tulijua watoto wa maskini ndio wanafanya uchafu huo ili kupata pesa ila kwasasa inaonekana watoto wa vigogo wamekuja kwa kasi sana katika swala la kujiuza mitandaoni.

DUH! SOMA ALICHOKIANDIKA 'MASANJA MKANDAMIZAJI' BAADA YA DIAMOND KUMZAWADIA GARI 'WEMA'


Kesi dhidi ya Julius Malema yaahirishwa


Julius Malema
Kesi ya ufisadi inayomkabili kiongozi wa upinzani, nchini Afrika Kusini Julius Malema, imeahirishwa hadi Agosti mwaka ujao.
Kesi hiyo ilitarajiwa kuanza hii leo lakini wakili mmoja muhimu hakuwepo.
Kiongozi huyo wa zamani wa kundi la vijana wa chama kinachotawala cha ANC anashtakiwa kwa kulaghai, matumizi mabaya ya fedha na kwa kuuza vitu kimagendo.
Bwana Malema amekanusha makosa yote na kusema kuwa madai dhidi yake yamechochewa kisiasa.
Wafuasi wa chama chake cha Economic Freedom Fighters, alichoanzisha baada ya kutimuliwa kutoka chama cha ANC mwaka 2012 - walikuwa wamekusanyika nje ya mahakama.
Bwana Malema amekuwa mstari wa mbele kushutumu ufisadi.
Bwana Malema mwenye umri wa miaka 33,ambae yuko nje kwa dhamana ya randi elfu 10 anakabiliwa na mashitaka manne ya Rushwa ,ufisadi ,kughushi nyaraka na kujipatia pesa kiasi cha randi million 4 kiujanja ujanja na kuzihaulisha katika shirika moja la Ratanang linalo semekana kumilikiwa na Malema mwenyewe .
Malema anayakanusha madai hayo yote na amekua akisema anafanyiwa njama na mahasimu wake kuweza kumuangusha kisiasa
Kama ilivo desturi yake Julius Malema aliandamana na wafuasi wake kwa wingi asubuhi ya leo kufika mahakama kuu ya Polokwane jimbo alikozaliwa mwenyewe.
Jitihada zake za kutaka kesi hiyo kutupiliwa mbali, mwaka jana hazikufua dafu.
                                                Malema akiandamana na wafuasi wake
Ikiwa atapatikana na hatia ya makosa yake, huenda akapoteza kiti chake bungeni.
Wakati wa kipindi cha maswali kwa Rais mnamo mwezi Agosti, Bwana Malema, alitatiza shughili hiyo kwa kumzomea Rais Jacob Zuma akimwambia alipe pesa alizopora kutoka kwa wananchi.
Alidai kuwa Zuma alitumia dola milioni 24 mali ya umma kukarabati nyumba yake ya kifahari.
Hata hivyo Malema ambaye alifurushwa kutoka kwa chama tawala mwenyewe anadaiwa dola milioni 1.6 ambazo alipaswa kulipa kama kodi kwa serikali.
Malema aliunda chama chake cha EFF baada ya kufurushwa kutoka kwa chama tawala, baada ya kutofautiana na Rais Zuma.
Tayari msemaji wa polisi wa mkoa wa Limpopo Brig Hangwani Mulaudzi amesema ulinzi utakua mkali. Barabara za mji wa Polokwane zinazoelekea kwenye korti kuu zitafungwa kuanzia saa 12 Alfajiri polisi ikipiga doria kupambana na uhalifu wowote utakaojitokeza mkiwemo eneo la Seshogo anakozaliwa Julius Malema

Tuzo aliyojipa H.Baba ‘Mtumbuizaji Bora’ ni diss kwa Diamond Platnumz?

Pamoja na H.Baba kuwahi kudai kuwa hana tena beef na Diamond Platnumz, kuna kila ishara kuwa mafahari hao wawili bado hawawezi kukaa kwenye zizi moja. Kama umesahau, wacha tukukumbushe; Wasanii hao wawili wamewahi kuingia kwenye beef zito baada ya H.Baba kumtuhumu Diamond amemuibia wimbo wake ‘Sitaki Kulewa’.

So, Jumamosi iliyopita, H.Baba na mke wake, Flora Mvungi waliandaa tuzo zao wenyewe ambazo tofauti na vile wengi wanavyodhani, tuzo hizo zilikuwa serious kabisa kwa kuhusisha watu muhimu kwenye tasnia ya burudani Tanzania, waandishi wa habari na pia kutolewa trophy na fedha taslimu kwa washindi.

H.Baba alijipa tuzo ya ‘Mtumbuizaji Bora’ na tunafahamu kuwa Diamond Platnumz ni mshindi wa kipengele cha ‘Mtumbuizaji bora wa kiume wa muziki’ kwenye tuzo za KTMA 2013. H.Baba anataka title yake kutoka kwa Diamond?

Haya ni maneno aliyosema wakati akipokea tuzo hiyo:

Tuzo hii hapa ni ya mtumbuizaji bora Tanzania,” alisema muimbaji huyo. “Mimi nina tuzo ya East Africa mtumbuizaji bora, Tanzania sina hata tuzo moja kwa sababu ya nini nimeshatangaza naanzisha hii tuzo kwa akili timamu na wala sivuti bangi. Mimi sivuti sigara wala sinywi pombe, kama kuna msanii anaona hii tuzo sio halali yangu mimi ajitokeze. Promota yoyote ajitokeze huyo msanii alipwe pesa mimi nita- perform bure na awadhihirishie watanzania kwamba yeye ni mkali ya stage Tanzania.
hbaba

Kama ananizidi mimi, promota amlipe yeye ila mimi kama H.Baba nitaperform bure na nitakuja peke yangu na yeye inatakiwa aje peke yake. Kwa sababu kuna Kiswahili fasaha ambacho kinakosewa kuna neno linaitwa mtumbuizaji bora na kuna watumbuizaji bora. Mimi ni mtumbuizaji bora, wengine ni watumbuizaji bora. Kwanini nasema watumbuizaji bora kwa sababu msanii yeye mwenyewe hajiwezi mpaka awe na watu wakucheza naye, ila mimi binafsi najiweza kwa sababu mimi mwenyewe ninaweza fanya kazi na ikaeleweka.

Ndiyo maana ya hii tuzo niliyopata leo. Ninaowatambua walikuwa watumbuizaji na ninawaheshimu mpaka leo nawataja watu wawili, kuna Mr Nice kuna TID (Top In Dar ) hao ndo watu wanaweza kusimama kwenye show na kuburudisha na watu wakasema asante.

Ulisikia ile show ya Jose Chameleone ambayo kiingilio ni milioni moja? amezitaja sababu 3 hapa


stage 1Kwa hapa Tanzania tumezoea show kubwa kama Fiesta tunaona mastaa wakubwa kama Rick Ross, Ludacris na wengine kwa kiingilio kisichozidi elfu 20 ambapo mwaka huu anashuka T.I October 18 lakini tukirudi kwenye show binafsi za Wasanii, kumbukumbu zangu zinaniambia Diamond na Mwana FA ni miongoni mwa waliowahi kufanya show zao wao wenyewe lakini viiingilio havikufika shilingi laki moja.
Nimekuandikia hiyo sentensi hapo juu nikiweka kumbukumbu vizuri wakati huu ambapo imebaki miezi miwili kufanyika kwa show ya Jose Chameleone wa Uganda ambae amepanga kuifanya show yake mwenyewe nchini kwao December hii huku kiingilio kikiwa ni zaidi ya laki sita za Tanzania ambazo ni shilingi milioni moja za Uganda.
j chameleone 1Kwenye Exclusive interview na millardayo.com Jose Chameleone amesema >>> ‘nachekelea watu ambao wanasema Milioni? nani atampa hiyo milioni? watu wengi wanauliza mbona milioni moja? msanii mmoja? kuna watu ambao hawajapata bahati ya kumuona Chameleone akiwa anafanya mazuri yake, kuna matajiri flani wanataka kuja kwenye show yangu lakini wanaogopa wakija kuna cameraman wengi wanawasumbua na vitu kama hivyo’
  1. ‘Sio eti nimetaka kujipandisha bei lakini nataka kuwajali pia wale ambao hawawezi kunitembelea kwenye show za kawaida, najua watu wanashangaa na kuuliza mbona milioni?? …….sio sababu wewe au mimi hatuna milioni ndio wote hatuna milioni, kuna watu ambao milioni ni kama elfu moja, elfu kumi au laki moja’
  2. ‘Usiulize wanaotengeneza Benz mbona wanauza bei kubwa zaidi ya Toyota, kama huna hela ya Benz nunua Toyota, sio kwa ubaya lakini nataka nijali watu wote.. hii ni kwa wale wasioweza kuja kwenye show za elfu 10 na elfu 20, na wao wapate wakati wao…. hii hela ni kwa ajili ya kuwasaidia watu wa Karamoja wanaoishi kwenye maisha duni’

Alikiba anataka watu wafahamu kuwa hana na tatizo na Diamond Platnumz ila.............{soma hapa}


 AliKiba amewataka watu kuachana na tabia ya kuwagombanisha Diamond ili wafanye muziki mzuri.
“Kila mtu anaandika anachotaka juu ya mimi na Diamond, mpaka wengine wanatumia akaunti fake za Facebook kutukosanisha, ndio maana nikasema kuna wengine wanafanya for fun na wengine wanafanya ili kutukosanisha wengine wanafanya lakini hawajui wanachofanya,” amesema Alikiba.
“Mimi najaribu kuwaomba wadau mbalimbali waache hiyo tabia ya kutukosanisha kwa sababu mimi sina ugomvi na Diamond na wala sina mambo hayo. Ninachowataka waendelee kusupport kazi zetu ili mambo yaende vizuri kwa sababu sisi ndo wasanii wao tunaoiwakilisha Tanzania. Wanapotupa moyo wao sisi tunazidi kukaza buti ili tufike mbali zaidi. Watu wanaotengeneza ugomvi wangu na Diamond waache cha zaidi wafanye kusupport muziki na watuambie ni mapungufu gani ambayo yamepungua ili tujirekebishe,” ameongeza.
Katika hatua nyingine, Alikiba amezungumzia mapokezi ya wimbo Mwana na Kimasomaso pamoja na ujio wa video zake.
“Kwanza watu wamenipokea vizuri sana kama nilivyokuwa nikitarajia, imeonyesha ni jinsi gani yale malalamiko ya maana walikuwa wakilalamika kwamba nimekumiss na nilivyotoa nyimbo watu wanasikiliza na kuinjoy na nyimbo zenyewe zimekuja wakati mzuri na zenye maadili mazuri ya kuelimisha na kuchezeka na ya kufurahisha. Maandalizi ya video yapo tayari na booking ipo tayari vilevile, maandalizi nimeandaa hata kabla sijatoa nyimbo, video itafanyika nje na moja ni hapa siwezi sema ni nchi gani bado ni mapema nitasema baadae nikishaitoa, kwasababu nimetoa track mbili moja itafanyika hapa na nyingine itafanyika nje

Alhamisi, 25 Septemba 2014

YALAAAAAA!!! ANGALIA ANAVYO MBANJUA AMRI YA 14 BILA AIBU OFISINI NA DENT WAKE.... NI AIBU HIII FULL VIDEO HAPA


 
TAZAMA PICHA HAPA chini

PICHA: MTU NA DADAAKE WAJIREKODI WAKICHEZA UCHI NA BADAE KUNANILIU EBU ONA HAPA FULL VIDEO

 



 

2 Moi University Students Ca'ught 'Making Babies' #Shambani!



The angry villagers exposed them saying that that was a habit they were used to and needed to be taught a lesson…

KIGOGO WA ZAMANI CHADEMA ATOBOA SIRI ZA MAANDAMANO YAO YASIYOKWISHA KILA SIKU LIVE!!




   

Default CHADEMA huwalipa waandamaji

Ndugu,

Wakati maandamano yametangazwa nchi nzima na chama chetu, na kwa kweli mimi nilisema sitashiriki kwa sababu ambazo nilieleza, na zote zimeonekana kuwa kweli, dhamiri yangu imenituma kuongea jambo jingine ambalo laweza kusaidia baadhi ya watu. Ingawa najua chama changu hakitafurahishwa na hii revelation, lakini napenda nihukumiwe kwa kuutumikia ukweli.

Ndugu, wengi wa makamanda wetu hujitolea kufanya kazi za chama. Na kwa kweli umati wa wanaojitokeza kwenye shughuli za chama chetu CHADEMA kama mikutano ya hadhara ama maandamano, huja wenyewe bila kupewa fedha. lakini hii siyo kwa wote.

Chama chetu kwa muda sasa kinao utaratibu wa kuwalipa watu ili wajitokeze kuhamasisha wengine kujitokeza kwenye maandamano.

Hii ni kweli kwenye mikutano ya hadhara pia, ingawa sisi hupenda sana wengi wa wanaojitolea na wapinzani wetu wa CCM wasijue kuwa huwa tunagharimia mambo hayo.

Nakumbuka tukiwa chuo kikuu, mimi nikiwa mwenyekiti wa CHASO DUCE, tulivyokuwa tukilipa makundi ya wanafunzi ili wajitokeze kwenye makongamano ya katiba siku hizo.

Mzee Warioba amewahi kuzomewa na kundi la wanafunzi wanachama wa chadema pale Karimjee hall alipoanza speech yake kwa kusapoti ile orodha iliyoitwa siku zile "sacrosanct issues" hakika tulimzomea. alikatisha hotuba yake. Vilevile, tulikuwa tukiwalipa hela kutoka makao makuu ya chama wanafunzi baadhi ili wahamasishe maandamano na migomo chuoni.

Hivyo basi kwenye mikutano yetu, huwajazia mafuta bodaboda na watu wa bajaji, na katika maandamano huwa wanalipwa baadhi ya watu ili kuhimiza wengine.

Ni kweli hawalipwi wote, lakini hakika kuna wanaokuwa wamelipwa ili kuonyesha kuwa tunaungwa mkono na hao waongoze kuitikia hatimaye wengine wajiunge nao. Kwa hiyo katika maandamano kuna wanaolipwa na kuna wengi wasiolipwa.

Naandika mada hii kuwasadia wale ambao hujitolea tu wajue kuwa katika mkusanyiko huo kuna wenzao ambao huwa wamelipwa hela na hawa wakishawahamasisha wengine wao huishia zao kwahiyo wanaokuja kupatwa na matatizo hasa ni wale wanaojitolea tu bila kulipwa chochote.

Najua kisa kimoja Mbeya, pale waandamanaji walipoumizwa, walijiuguza wao wenyewe bila msaada wa chama. jambo hilo liliumiza sana familia zao na kwa hali ya sasa mbeya na hasa Mwanjelwa lilipotokea tukio lile, vijana hawajitokezi kwenye maandamano, bali wanadai na watoto wa viongozi nao waje mbele ndipo wataandamana. kwa hiyo ndiyo maana pia Mbeya wamegomea maandamano haya ya CHADEMA.

Hatimaye, nawaomba wananchi watafakari kama kila mtu ataachwa kucheza na sheria atakavyo, nini itakuwa future ya nchi yetu!. nina hakika chama chetu cha CHADEMA kikiingia madarakani mwaka 2015 (???) hatutaruhusu maandamano kama haya ya sasa.

Mfano tumeshaonyesha kwa chama kuzuia wanachama wake na mashabiki kuhudhuria mikutano ya Zitto Kabwe. hulka hiyo itakuwa kubwa kwa wapinzani mwaka kesho tutakapochukua dola!

Wenye masikio na wasikie.

Wafuasi wa Boko Haram wajisalimisha


Wanamgambo wa Boko Haram
Jeshi la nchini Nigeria limesema zaidi ya wafuasi 260 wa Boko Haram wamejisalimisha kaskazini mwa nchi hiyo.
Jeshi hilo limesema katika mapambano limemuua mtu mmoja ambaye huwa anaonekana kwenye picha za video za propaganda za Boko haram wakishuku kuwa huenda ni Kiongozi wa wa kundi hilo, Abubakar Shekau.
Mwandishi wa BBC nchini Nigeria amesema kuwa majuma ya hivi karibuni Boko Haram imeshindwa kwa kiasi kikubwa wakati walipokuwa wakipambana kudhibiti eneo karibu na mji wa Maiduguri.
Jeshi limesema wafuasi 135 wa Boko Haram wamejisalimisha wakiwa na silaha zao katika majimbo ya Biu na Borno,halikadhalika wafuasi wengine 133 wanahojiwa

What a new woman for a King of Rhymes Afande Sele…


Na Musa Mateja
MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya Seleman Msindi ‘Afande Sele’, juzikati alinaswa akiwa na demu mpya akiwa ni siku moja tu baada ya kufanyika kwa 40 ya aliyekuwa mzazi mwenzake, marehemu mama Tunda.

Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Seleman Msindi ‘Afande Sele’,akiwa na mpenzi mpya.
Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Septemba 21 mwaka huu ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro wakati staa huyo aliyekuwa mmoja wa watoa burudani katika tamasha la Fiesta, alipoonekana akiingia akiwa ameambatana na mrembo mmoja akiwa ameshikana naye kimahaba.
Akiwa ndani ya uwanja huo, mkali huyo wa mashairi yenye vina kwa muda mwingi alikuwa pamoja na msichana huyo ambaye hakufahamika jina, wakiwa na dalili zote za wapendanao.

Mkali wa ‘Rhymes’ Bongo, Seleman Msindi ‘Afande Sele.
Alipoulizwa juu ya suala hilo, Afande Sele alicheka na kumtaka paparazzi wetu kuachana na masuala hayo aliyoyaita binafsi, badala yake asubiri apande jukwaani apate picha za kazi atakayofanya

Jumanne, 23 Septemba 2014

Kesi ya Emmanuel Mbasha imesogezwa tena mpaka October.




Mbasha 1Kesi ya mwimbaji wa nyimbo za Injili Emmanuel Mbasha imepigwa kalenda kwa mara nyingine tena kwa sababu Hakimu anayeendesha kesi hiyo kupata shughuli nyingine nje ya ofisi.
Mbasha alipanda kizimbani katika mahakama ya Wilaya ya Ilala kwa ajili ya kusikilizwa kwa kesi yake hiyo ambapo mwendesha mashtaka Kiyoja Catherine aliahirisha kesi hiyo kutokana na Hakimu Williberforce Luwhego kupata dharura.
mbasha 2Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa tena 17 October mwaka huu ambapo Mahakama itaanza kusikiliza ushahidi ambapo upande wa mashtaka utakuwa na mashahidi wanne kwenye kesi hii inayomkabili mume wa Flora Mbasha anaekabiliwa na mashtaka mawili ikiwemo ya ubakaji.
Mara ya mwisho kabla ya hii kuahirishwa Flora Mbasha alikwenda Mahakamani kwa mara ya kwanza akiwa na watu wake na hakukutana wala kuongea na mume wake ambapo muda mfupi kesi hiyo ikaahirishwa.

Sababu za Madee kushikiliwa na Polisi.. chanzo ni hiki cha jamaa wawili wa Pikipiki


jpsTaarifa zimethibitishwa kuhusu staa wa hit single kama ‘pombe yangu’ ‘tema mate tuwachape’ na ‘ni shidaah’ Madee ambae ni msanii kutoka kundi la TipTop Connection kushikiliwa na Polisi.
Kabla ya kuongea na meneja wa kundi hilo ambae ni Babtale, Gossip Cop Soudy Brown kwenye You heard inayosikika kupitia XXL ya CloudsFM J3-Ijumaa alisema ‘inasemekana Jumamosi iliyopita Madee aliporwa simu yake na watu wawili usiku huko Kigamboni’
Babtale alipoulizwa akasema ‘Kwenye mida ya saa tisa usiku Madee wakati anatoka kwenye show Kigamboni kuna waporaji simu wakiwa kwenye pikipiki wakampora kwa hiyo ikabidi gari aliyokuwemo Madee ikiendeshwa na Kwebe ianze kuikimbiza ile pikipiki alafu wakaigonga pikipiki kwa nyuma, pikipiki ilivyodondoka yule aliekua nyuma kwenye pikipiki ambae ndio alipora simu akafanikiwa kukimbia hivyo wakaishia tu kumkamata aliekua anaendesha hiyo pikipiki’
Madee 1‘Wakamchukua na kwenda nae maskani Tiptop… mama yake akaja akasema msipeleke Polisi mwekeni hapa mi nakwenda kuwachukulia vitu vyenu, Madee kwa sababu alikua anakwenda kwenye show Mwanza ikabidi aende zake…… saa nne asubuhi yule mama akaja na Polisi badala ya kuja na mwizi mwenzake akaja na Polisi kataka kuwaokota watoto wote ofisini kwangu pale Tiptop, walimchukua huyo Muhalifu kwenye Land rover mpaka Polisi Magomeni na kubadilisha kibao kwamba huyu mtuhumiwa alitekwa’
‘Alipigwa akaumia hivyo wakamuombea PF3 wakampeleka Hospitali, nikapigiwa simu na Madee kwamba anatakiwa Polisi akaripoti…. kufika kituoni wakakuta ile pikipiki na kukuta yule dogo ndio anafika kutoka Hospitali akawaambia huyu ni mwizi ameiba, ikabidi Dogo aingizwe ndani jana akalala pale Polisi Magomeni’
note 3‘Asubuhi yake Madee akaenda kituoni kama kufata Mwalifu wake na kutaka simu yake aliyoibiwa, akaambiwa kesi inabidi ihamishiwe Kigamboni…. saa kumi na mbili jioni ndio Kwebe ananitumia msg anasema Madee analalamika mbona humfatilii nikauliza kuna nini tena akasema wamemuingiza ndani, nikapiga simu Polisi Kigamboni ndio wakaniambia kijana wako tulitaka kumtoa lakini hatuwezi sababu amemteka mtu, nikapiga simu kwenye vyanzo vyangu vya msaada tukamtolea dhamana…. ni hilo, yataisha kama yalivyoanza’

Umri 18 +: Picha Za Uchi Mpya Za Kim Kardashian Zilizowekwa Mtandaoni!

new kim kardashian nude



Photos showing an apparently nude Kim Kardashian are among a group of images that have appeared online in what appears to be a second leak of hacked personal pictures of celebrities, weeks after stars including Jennifer Lawrence and Kate Upton were targeted.
The actresses Vanessa Hudgens and Aubrey Plaza, designer and former child star Mary-Kate Olsen, and US soccer player Hope Solo are reportedly also among those apparently hacked. New nude pictures of Jennifer Lawrence have also emerged.
In the self-shot pictures being shared on online message board 4chan, Reddit and Twitter, the woman pertaining to be Kardashian is not wearing a wedding ring and it is unclear when the photos were taken.
A representative for Kardashian declined to comment.
Photographs of Hayden Panettiere and Eyes Wide Shut actress Leelee Sobieski also feature in the latest cache, according to Buzzfeed. Further pictures of Lawrence are also reportedly circulating.

CLICK Here for PHOTO 1

CLICK Here for PHOTO 2

MADADA POA WAAMUWA KUFUNGUKA LIVE KUUSU MAISHA YAO NA BEI ZAO VIDEO HII HAPA






Who's Bad: Ali Kiba anapendwa zaidi Uingereza kuliko Diamond?


Mabishano ya mashabiki kuhusu ni nani mkali kati ya Diamond na Ali Kiba ulionekana kufifia kwa muda kidogo kwenye media lakini ukweli ni kwamba pressure iliyoko mitaani kiuhalisia kwa wasanii hawa inafanya mada hiyo kutoepukika kirahisi.
Mtandao wa Bongo5 umeibua gumzo jingine baada ya kufanya mahojiano na promota wa muziki na filamu anaefanya kazi zake nchini Uingereza, Hadija Seif, maarufu kama Dida Fashion na alisema nchini humo Ali Kiba anapendwa zaidi ya Diamond.
Sio sasa hivi tu, tangu zamani to be honest kwa UK Alikiba yupo juu zaidi.  Sijui kwanini lakini kwa watu wenyewe ukisema labda kati ya Ali kiba na Diamond hapo nani aletwe, honestly watu wa UK yaani Ali kiba sijui aliwafanya nini lakini Alikiba UK is the best.” Alisema promota huyo.
Hata hivyo, ripoti hiyo ilipokelewa kwa hisia tofauti mashabiki wa muziki.
Mtu mmoja anaetumia jina la Blacksailors Jangombwe kwenye Facebook, yeye ni mtanzania anaeishi Uingereza ambaye alitofautiana na ripoti ya Dida.
Hiki ndicho alichoandika:
 “Please Dida Please!!. If you can't afford to hire someone, doesn't mean he's not popular then the one you just mention. kuwa mkweli uliweza kumleta diamond UK before but now you can't,because he's very expensive. Sasa unaposema UK wanampenda fulani then fulani kwaushahidi upi??. have u done a survey If YES when and which county in UK. Watu wamejaa kwenye holli waiting up to 5:00 am. Unafikiri angekua huyo unaemtaja wewe, Nani UK ungemueka asubiri mpaka saa 11 alfajiri Common Dida. Msema ukweli ni mpenzi wa mungu. Better to try another way to promote DIDA ENT. Northampton peoples know better than thaaaaaaat!!!!. Common sister you know we always love you and support you,don't do that, TheTruth is matter.”
Chanzo: Bongo5

Jumatatu, 22 Septemba 2014

MAMA MWENYE FAMILIA APIGA PICHA ZA UCHI AKILIWA TIGO NA MUME WA MTU


Mama mtu mzima tena mke wa mtu amejikuta katika aibu ya mwaka baada ya picha zake alizopigwa na serengeti boys wake akiliwa tigo zikisambaa mtandaoni na kumfikia mume wake.
ANGALIZO: PICHA NI ZA UCHI KAMA WEWE NI MTOTO USIBONYEZA PICHA.
 
<> 
 
<>

PICHA ZA UTUPU ZA KAJALA HIZI HAPA..!!






hii ni video clip inayo mwonyesha msichana anayedaiwa kuwa ni superstar kutoka bongo movie
kajala masanja ambazo hazina ukweli wowote zaidi ya kumdhalilisha

WAZUNGU WABAKWA NA KUPIGWA PICHA ZA UTUPU......

 





Tahadhari kwa wanaotumia Sukari nyingi



Kiwango kikubwa cha Sukari kinagharimu sekta ya afya na kuwaathiri zaidi watoto
Wataalamu wa afya wanatahadharisha kuwa juhudi zaidi zinahitajika kupunguza kiwango cha Sukari kinachotumiwa na watu.
Shirika la afya duniani kwa ushirikiano na washauri wa maswala ya afya nchini Uingereza, wamependekeza kupunguza viwango vinavyopendekezwa vya kutumia sukari mwilini.
Ushauri mpya unasema kuwa kiwango kinachostahili cha Sukari mwilini ni asilimia 5 kutoka asilimia 10.
Lakini utafiti mbadala unasema kwamba kiwango kinachofaa hakipaswi kuwa zaidi ya asilimia 3.
Watafiti wanasema kuwa ushauri huu mpya unahitajika ikizingatiwa gharama ya matibabu kwa sekta ya afya hasa matibabu ya magonjwa ya Meno.
Wanasema kuwa Sukari ni kiungo muhimu zaidi katika kuchochea magonjwa ya Meno kwa sababu ya hilo, ni ugonjwa ambao unaweza kuzuilika.
Utafiti unaonyesha kuwa kutumia kiwango kikubwa cha Sukari mwilini kunaongeza uwezekano wa meno kuoza na kuharibika hususan kwa watoto.
Matibabu ya magonjwa ya Meno hugharibu nchi zilizostawi kati ya asilimia 5 na kumi ya matumizi ya pesa za matibabu.
Wataalamu wanasema kuwa hatua zinapaswa kuchukuliwa kwa haraka.
'Kodi kwa Sukari'
Wataalamu wanataka serikali kudhibiti upatikanaji wa mashine za kuuza soda na vinywaji vingine vyenye sukari na hata kuyaondoa katika maeneo ya shule na hospitali.
Pia wanasema kuwa vyakula vyenye kiwango kikubwa cha sukari vinapaswa kuwekwa vibandiko na serikali kuvitoza ushuru mkubwa.
Wanasema kuwa swala la watu kutumia sana Sukari ni tatizo kubwa kwa umma.
Licha ya hatua kuchukuliwa kupunguza matumizi ya Sukari, takwimu zinaonyesha kuwa watu wengi bado wanatumia kiwango kikubwa cha Sukari.