Zaidi ya watu milioni 14 katika eneo la mashariki mwa Afrika wanahitaji
msaada wa chakula kutokana na uhaba wa mvua na mizozo mbalimbali, miaka
mitatu tangu kutokea ukame uliokithiri kwenye ukanda huo.
Msemaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linaloratibu utoaji wa misaada ya
kibinaadamu-OCHA, mashariki mwa Afrika, Matthew Conway amesema hali ni
ya mashaka. Grace Kabogo amezungumza na Mratibu wa Ushirikiano wa OCHA, Luluwa Ali,
ambaye kwanza anaanza kuelezea jinsi shirika hilo lilivyojiandaa
kukabiliana na tatizo hilo. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya
spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Grace Patricia Kabogo
Mhariri: Josephat Charo
Mwandishi: Grace Patricia Kabogo
Mhariri: Josephat Charo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni